Yericko Nyerere utafaidika na nini iwapo Lissu akinyongwa?

MWANAHARAMU

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
5,350
Reaction score
13,622
Kaka Yericko
Embu tujuze kipi utafaidika au una faidika iwapo mpiganaji Tundu wa LISU akinyongwa?

Sote tunajua, ulishindwa kwenye harakati za chama na kikundi Chako kuwania madaraka ya kumbakisha aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema ndugu Aikael Mbowe.

Ninyi mliamini kwenye siasa za kimkakati ambapo mlikuwa mnaingia mkataba kanjanja na serikari ili mnufaike binafsi kwa mamia na maelfu ya wanachadema kuumia.

Mnajua kesi za mchongo na ushahidi wa kubumba.

Ila kwa nini sasa, inaonyesha wazi kufurahia kifo chake!

Akifa ndio mtaaminiwa na wanachadema?
Akifa ndio itaweza kumrudisha mwenyekiti wako ?
Akifa Chauma itachukua nafasi ya Chadema?
Una jiharibia heshima yako.
 
Kwani tundu akifa wewe utapata hasara gani wewe kama wewe.

Ni sheria lazima kila mtu aonje umauti, kinachochanganya ni njia zinazotumika mtu kufikia umauti wa kimwili.
 
Kaka Yericko
Embu tujuze kipi utafaidika au una faidika iwapo mpiganaji Tundu wa LISU akinyongwa?

Sote tunajua, ulishindwa kwenye harakati za chama na kikundi Chako kuwania madaraka ya kumbakisha aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema ndugu Aikael Mbowe.

Ninyi mliamini kwenye siasa za kimkakati ambapo mlikuwa mnaingia mkataba kanjanja na serikari ili mnufaike binafsi kwa mamia na maelfu ya wanachadema kuumia.

Mnajua kesi za mchongo na ushahidi wa kubumba.

Ila kwa nini sasa, inaonyesha wazi kufurahia kifo chake!

Akifa ndio mtaaminiwa na wanachadema?
Akifa ndio itaweza kumrudisha mwenyekiti wako ?
Akifa Chauma itachukua nafasi ya Chadema?
Una jiharibia heshima yako.
Ni Tanzania tu ndiyo mjinga kama huyo anaweza kustawi.
 
Sidhani ikiwa kuna faida yoyote ya maana,

But
ushindi na faida kubwa zaidi itakua kwa sheria na katiba ya nchi kuheshimiwa bila shuruti na wananchi wote 🐒
 
Kaka Yericko
Embu tujuze kipi utafaidika au una faidika iwapo mpiganaji Tundu wa LISU akinyongwa?

Sote tunajua, ulishindwa kwenye harakati za chama na kikundi Chako kuwania madaraka ya kumbakisha aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema ndugu Aikael Mbowe.

Ninyi mliamini kwenye siasa za kimkakati ambapo mlikuwa mnaingia mkataba kanjanja na serikari ili mnufaike binafsi kwa mamia na maelfu ya wanachadema kuumia.

Mnajua kesi za mchongo na ushahidi wa kubumba.

Ila kwa nini sasa, inaonyesha wazi kufurahia kifo chake!

Akifa ndio mtaaminiwa na wanachadema?
Akifa ndio itaweza kumrudisha mwenyekiti wako ?
Akifa Chauma itachukua nafasi ya Chadema?
Una jiharibia heshima yako.
Huyu msenge Yericko Nyerere hajawahi kuwa na heshima yoyote hapa duniani yeye kaamua kumfanya Sultan Mbowe ndiye mungu wake.
 
Katiba ipi inayo heshimiwa?
Maeneo mangapi ya kikatiba yanakanyagwa?
Nashauri nawe ujaribu kukiuka, ili hatimae tujue ni katiba ipi inafanya kazi na ipi inakanyagwa,
na itapendeza zaidi gentleman 🐒
 
Jibu hoja ndugu
Je, ni katiba ipi inayo heshimiwa?
Katiba si kakitabu ama hujui au huelewi?
 
ni hiyo hiyo iliyokiukwa na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na ni hiyo hiyo ndio inayowahenyesha wakiuka katiba wote kizimbani na korokoroni 🐒
 
Ulisema mabwanyenye una maanisha nini?
Marekani inayowapa misaada na kuja kufanya majaribio ya chanjo au Waomani tuliowapa bandari, mbuga za wanyama waendeshe kwa manufaa yao?

Au unaposema mabwanyenye unawasema Wanorway, Waswedish, Wadenmark wanaotoa misaada ya kiutu Hadi kwa chama Cha mapinduzi?

Au unawasema Wajapan wanaokusaidia kujenga madaraja?

Au wachina waliojenga Hadi chuo Cha Ccm kule kibaha?
Na tukawapa Reli ya Tazara kwa muda wa miaka 27 😀😀😀😀😀

Au wabelgiji ambao wamekumbatiwa na serikari ya Tanzania?

Au Warusi na kuwapa madini ya Uranium huku sisi tukinunua siraha?

Embu nipe tafsiri sahihi ya hao tuwaitao mabwanyenye na wabia wa maendeleo tofauti yao?
 
ILo jina la nyerere angeliondoaa aitwee nyenyeree maana kichwa chake kimejaa mavii
FB_IMG_1787232935573.jpg
 
Ni muhimu kwa Lissu kuhukumiwa kwanza ndo apewe msamaha
Kuhukumiwa kwa makosa ya uongo?
Kesi ya uhaini yenye maneno matupu.
😀😀😀😀😀😀😀😀

Ni kesi mbili za kihistoria ambazo Tundu Lissu mwenyewe anazitaja leo Mahakamani Sept 25, 2026:

1. Gray Likungu Mattaka vs Republic (1971) - East African Court of Appeal
Hii ndio kesi mama ya uhaini Afrika Mashariki. Mahakama ilisema:
Kosa la uhaini lazima liwe na overt act (tendo la wazi) lililoandikwa/pleaded kwenye hati ya mashtaka. Publishing inamaanisha printing or writing.

Ikaweka utaratibu wa kuandika kesi za uhaini ambao Tanzania bado inautumia mpaka leo.

2. Khatib Ghandi and Others vs Republic - Mahakama ya Rufani Tanzania
Hii ndio kesi Lissu anaisisitiza zaidi. Jaji Mkuu wa zamani Francis Nyalali alitoa msimamo:
"Maneno matupu hayawezi, kwa ujumla, kuwa overt act au deed katika shtaka la uhaini"
Kwa Kiswahili: "Uhaini wa maneno haupo"

Lissu anasema:

"Uhaini wa maneno haujawahi kuwa sehemu ya sheria zetu milele. Sheria ya uhaini ilikuja na Waingereza miaka ya 1920, lakini hata wakati huo maneno pekee hayakutosha - ilihitaji kitendo. Uganda pekee ndio ilikuwa na kipengele cha uhaini wa maneno, Tanzania na Kenya hatukuwa nacho." d452

Kwa hiyo hoja yake Mahakamani leo ni:

  • Mashtaka yanajaribu kuingiza "uhaini wa maneno" ambayo haipo kwenye Penal Code yetu
  • Kifungu 39(2)(d) kinataka uchapishaji (printing/writing) na matokeo halisi, si maneno ya kisiasa tu ya "tutazuia uchaguzi, tutakinukisha" aliyoyasema Dar, Mbeya, Iringa, Songwe, Njombe, Lindi, Mtwara.
 
Back
Top Bottom