cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
😂😂😂Umenena vyema. Watanzania wengi hawana utimamu. Wanatofautiana extent tuu.
😂😂😂Umenena vyema. Watanzania wengi hawana utimamu. Wanatofautiana extent tuu.
Nilikua nashangaa watu wananunua vitabu kwake eti ni jasusi, wakati ukimuona tu unajua hayuko sawa kiakili.
Lol
Ni tahira mwenye kujiamini. 😂😂😂una akili sana mimi namwonaga Yericko kama mtu mjinga flani hivi mwenye confidence
***** linaparamia uzi baada ya kumaliza kupigwa mitiNashauri nawe ujaribu kukiuka, ili hatimae tujue ni katiba ipi inafanya kazi na ipi inakanyagwa,
na itapendeza zaidi gentleman 🐒
Yericko Nyerere unaitwa huku. Njoo ujibu hoja..Kaka Yericko
Embu tujuze kipi utafaidika au una faidika iwapo mpiganaji Tundu wa LISU akinyongwa?
Sote tunajua, ulishindwa kwenye harakati za chama na kikundi Chako kuwania madaraka ya kumbakisha aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema ndugu Aikael Mbowe.
Ninyi mliamini kwenye siasa za kimkakati ambapo mlikuwa mnaingia mkataba kanjanja na serikari ili mnufaike binafsi kwa mamia na maelfu ya wanachadema kuumia.
Mnajua kesi za mchongo na ushahidi wa kubumba.
Ila kwa nini sasa, inaonyesha wazi kufurahia kifo chake!
Akifa ndio mtaaminiwa na wanachadema?
Akifa ndio itaweza kumrudisha mwenyekiti wako ?
Akifa Chauma itachukua nafasi ya Chadema?
Una jiharibia heshima yako.