Ulisema mabwanyenye una maanisha nini?
Marekani inayowapa misaada na kuja kufanya majaribio ya chanjo au Waomani tuliowapa bandari, mbuga za wanyama waendeshe kwa manufaa yao?
Au unaposema mabwanyenye unawasema Wanorway, Waswedish, Wadenmark wanaotoa misaada ya kiutu Hadi kwa chama Cha mapinduzi?
Au unawasema Wajapan wanaokusaidia kujenga madaraja?
Au wachina waliojenga Hadi chuo Cha Ccm kule kibaha?
Na tukawapa Reli ya Tazara kwa muda wa miaka 27 😀😀😀😀😀
Au wabelgiji ambao wamekumbatiwa na serikari ya Tanzania?
Au Warusi na kuwapa madini ya Uranium huku sisi tukinunua siraha?
Embu nipe tafsiri sahihi ya hao tuwaitao mabwanyenye na wabia wa maendeleo tofauti yao?