Yericko Nyerere utafaidika na nini iwapo Lissu akinyongwa?

Yericko Nyerere utafaidika na nini iwapo Lissu akinyongwa?

Ahukumiwe kwa sheria gani? Yote hayo mnajitengenezea janga huko mbele, maana ni laana kubwa kwa vizazi vijavyo. Na kama tutaishi kufika huko, sijui sura zenu mtaficha wapi! Kibri!!!!!!!!!!!!!!
Mambo ya laana kwa vizazi vijavyo hakunaga. Watoto wa Osama, Idd Amin, Agusto Pinochet, Mobutu na wengine bado wako hai wanakula maisha. Makosa yako utayabeba mwenyewe hakuna laana ya kizazi.
 
Kuhukumiwa kwa makosa ya uongo?
Kesi ya uhaini yenye maneno matupu.
😀😀😀😀😀😀😀😀

Ni kesi mbili za kihistoria ambazo Tundu Lissu mwenyewe anazitaja leo Mahakamani Sept 25, 2026:

1. Gray Likungu Mattaka vs Republic (1971) - East African Court of Appeal
Hii ndio kesi mama ya uhaini Afrika Mashariki. Mahakama ilisema:


Ikaweka utaratibu wa kuandika kesi za uhaini ambao Tanzania bado inautumia mpaka leo.

2. Khatib Ghandi and Others vs Republic - Mahakama ya Rufani Tanzania
Hii ndio kesi Lissu anaisisitiza zaidi. Jaji Mkuu wa zamani Francis Nyalali alitoa msimamo:


Lissu anasema:



Kwa hiyo hoja yake Mahakamani leo ni:

  • Mashtaka yanajaribu kuingiza "uhaini wa maneno" ambayo haipo kwenye Penal Code yetu
  • Kifungu 39(2)(d) kinataka uchapishaji (printing/writing) na matokeo halisi, si maneno ya kisiasa tu ya "tutazuia uchaguzi, tutakinukisha" aliyoyasema Dar, Mbeya, Iringa, Songwe, Njombe, Lindi, Mtwara.
Kila kitu kina mwanzo wako. Lissu ndo atakuwa wa kwanza kuhukumiwa kwa kupitia maneno yake ya kishenzi. Kama alitegemea historia ya hizo kesi 2 zimuokoe atubu bado ni mapema.
 
Kaka Yericko
Embu tujuze kipi utafaidika au una faidika iwapo mpiganaji Tundu wa LISU akinyongwa?

Sote tunajua, ulishindwa kwenye harakati za chama na kikundi Chako kuwania madaraka ya kumbakisha aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema ndugu Aikael Mbowe.

Ninyi mliamini kwenye siasa za kimkakati ambapo mlikuwa mnaingia mkataba kanjanja na serikari ili mnufaike binafsi kwa mamia na maelfu ya wanachadema kuumia.

Mnajua kesi za mchongo na ushahidi wa kubumba.

Ila kwa nini sasa, inaonyesha wazi kufurahia kifo chake!

Akifa ndio mtaaminiwa na wanachadema?
Akifa ndio itaweza kumrudisha mwenyekiti wako ?
Akifa Chauma itachukua nafasi ya Chadema?
Una jiharibia heshima yako.
Tundu Lissu akinyongwa, Chaumma itachukua nchi, Yericko Nyerere atakuwa rahisi... yes... rahisi kuuza nchi
 
Mambo ya laana kwa vizazi vijavyo hakunaga. Watoto wa Osama, Idd Amin, Agusto Pinochet, Mobutu na wengine bado wako hai wanakula maisha. Makosa yako utayabeba mwenyewe hakuna laana ya kizazi.
Nawajua watatu, hao wa Mobutu wote washakufa na kunywa na ulafi na kuwa na Uric acid na kuaga dunia, uliza watoto wa Nguema, hao wa Idd Amin wako wapi, wa Gadafi wako wapi, wa Sadam wako wapi? Kwa taarifa yako mcheza kwao hutunzwa hao wote hawaishi kwao, wako Third class citizens nchi za watu
 
Niliwahi kumchamba kwenye page yake ya FB, akaishia kuniambia bahati yako unatumia I'd fake ningekutafuta kukufunza adabu. Nikamjibu wewe ndio umefunzwa hapo ulipo una haha, na vitabu vimekosa soko tahira wewe.
😂😂😂
Mi nilicomment humu kwenye uzi wake nilikuwa mgeni. Nikacomment huu ndio uchambuzi wa kijasusi? 😂😂😂 Alinichambaaa Asa mi kosa langu nini 😀😅
 
Kaka Yericko
Embu tujuze kipi utafaidika au una faidika iwapo mpiganaji Tundu wa LISU akinyongwa?

Sote tunajua, ulishindwa kwenye harakati za chama na kikundi Chako kuwania madaraka ya kumbakisha aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema ndugu Aikael Mbowe.

Ninyi mliamini kwenye siasa za kimkakati ambapo mlikuwa mnaingia mkataba kanjanja na serikari ili mnufaike binafsi kwa mamia na maelfu ya wanachadema kuumia.

Mnajua kesi za mchongo na ushahidi wa kubumba.

Ila kwa nini sasa, inaonyesha wazi kufurahia kifo chake!

Akifa ndio mtaaminiwa na wanachadema?
Akifa ndio itaweza kumrudisha mwenyekiti wako ?
Akifa Chauma itachukua nafasi ya Chadema?
Una jiharibia heshima yako.
Sio Yericko tu anayetaka Lissu anyongwe hadi kufa. Tupo wengi!
 
Ifike mahali wajinga wasio na maana kama huyo kibaka wa CCM msiwape umuhimu.

Huyo anatumika na Abdul na pesa ya Abdul inafanya hadi mtu ajivue utu ili kumfurahisha tu Abdul.

Fikiria mtu anakubali kwenda kufungiwa kwenye banda la mbwa mahakamani kutoa ushahidi wa uongo, huyo mtu mnamuona bado ni timamu?
 
Kaka Yericko
Embu tujuze kipi utafaidika au una faidika iwapo mpiganaji Tundu wa LISU akinyongwa?

Sote tunajua, ulishindwa kwenye harakati za chama na kikundi Chako kuwania madaraka ya kumbakisha aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema ndugu Aikael Mbowe.

Ninyi mliamini kwenye siasa za kimkakati ambapo mlikuwa mnaingia mkataba kanjanja na serikari ili mnufaike binafsi kwa mamia na maelfu ya wanachadema kuumia.

Mnajua kesi za mchongo na ushahidi wa kubumba.

Ila kwa nini sasa, inaonyesha wazi kufurahia kifo chake!

Akifa ndio mtaaminiwa na wanachadema?
Akifa ndio itaweza kumrudisha mwenyekiti wako ?
Akifa Chauma itachukua nafasi ya Chadema?
Una jiharibia heshima yako.
Yeriko ni miongoni mw waliopoteza malengo yao baada ya mbowe kushindwa kwenye ule uchaguzi maana alikua kashaahidiwa kitengo cha juu pale ndo maana mpaka sasa ana ganzi haamini kilichotokea
 
Kwani tundu akifa wewe utapata hasara gani wewe kama wewe.

Ni sheria lazima kila mtu aonje umauti, kinachochanganya ni njia zinazotumika mtu kufikia umauti wa kimwili.
Hasara ni kubwa sana kwa watanzania kumpoteza lissu mmoja kuliko wakipotea hawa wote kwa pamoja kikwete,samia ,mwigulu,na ndejembi
 
Back
Top Bottom