MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,350
- 13,622
Lisu kawekwa ndani na polisi kabla ya April, mwezi October mmeua watu kwa luwapiga risasi, hapo muuaji nani? Unajua sheria kweli. "Alibi" - wakati watu 10,000 wanakufa Lisu alikuwa jela.Lisu amesababisha vifo vya watu wengi sana
Ni Tanzania tu ndiyo mjinga kama huyo anaweza kustawi.Kaka Yericko
Embu tujuze kipi utafaidika au una faidika iwapo mpiganaji Tundu wa LISU akinyongwa?
Sote tunajua, ulishindwa kwenye harakati za chama na kikundi Chako kuwania madaraka ya kumbakisha aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema ndugu Aikael Mbowe.
Ninyi mliamini kwenye siasa za kimkakati ambapo mlikuwa mnaingia mkataba kanjanja na serikari ili mnufaike binafsi kwa mamia na maelfu ya wanachadema kuumia.
Mnajua kesi za mchongo na ushahidi wa kubumba.
Ila kwa nini sasa, inaonyesha wazi kufurahia kifo chake!
Akifa ndio mtaaminiwa na wanachadema?
Akifa ndio itaweza kumrudisha mwenyekiti wako ?
Akifa Chauma itachukua nafasi ya Chadema?
Una jiharibia heshima yako.
Sidhani ikiwa kuna faida yoyote ya maana,Kaka Yericko

Huyu msenge Yericko Nyerere hajawahi kuwa na heshima yoyote hapa duniani yeye kaamua kumfanya Sultan Mbowe ndiye mungu wake.Kaka Yericko
Embu tujuze kipi utafaidika au una faidika iwapo mpiganaji Tundu wa LISU akinyongwa?
Sote tunajua, ulishindwa kwenye harakati za chama na kikundi Chako kuwania madaraka ya kumbakisha aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema ndugu Aikael Mbowe.
Ninyi mliamini kwenye siasa za kimkakati ambapo mlikuwa mnaingia mkataba kanjanja na serikari ili mnufaike binafsi kwa mamia na maelfu ya wanachadema kuumia.
Mnajua kesi za mchongo na ushahidi wa kubumba.
Ila kwa nini sasa, inaonyesha wazi kufurahia kifo chake!
Akifa ndio mtaaminiwa na wanachadema?
Akifa ndio itaweza kumrudisha mwenyekiti wako ?
Akifa Chauma itachukua nafasi ya Chadema?
Una jiharibia heshima yako.
Katiba ipi inayo heshimiwa?Sidhani ikiwa kuna faida yoyote ya maana,
But
ushindi na faida kubwa zaidi itakua kwa sheria na katiba ya nchi kuheshimiwa bila shuruti na wananchi wote π
Yeye ndio aliwaua?Lisu amesababisha vifo vya watu wengi sana
Nashauri nawe ujaribu kukiuka, ili hatimae tujue ni katiba ipi inafanya kazi na ipi inakanyagwa,Katiba ipi inayo heshimiwa?
Maeneo mangapi ya kikatiba yanakanyagwa?
Jibu hoja nduguNashauri nawe ujaribu kukiuka, ili hatimae tujue ni katiba ipi inafanya kazi na ipi inakanyagwa,
na itapendeza zaidi gentleman π
ni hiyo hiyo iliyokiukwa na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na ni hiyo hiyo ndio inayowahenyesha wakiuka katiba wote kizimbani na korokoroni πJibu hoja ndugu
Je, ni katiba ipi inayo heshimiwa?
Katiba si kakitabu ama hujui au huelewi?
Ulisema mabwanyenye una maanisha nini?ni hiyo hiyo iliyokiukwa na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na ni hiyo hiyo ndio inayowahenyesha wakiuka katiba wote kizimbani na korokoroni π
Jasusi hana suraNilikua nashangaa watu wananunua vitabu kwake eti ni jasusi, wakati ukimuona tu unajua hayuko sawa kiakili.
Lol
Kuhukumiwa kwa makosa ya uongo?Ni muhimu kwa Lissu kuhukumiwa kwanza ndo apewe msamaha
Kosa la uhaini lazima liwe na overt act (tendo la wazi) lililoandikwa/pleaded kwenye hati ya mashtaka. Publishing inamaanisha printing or writing.
"Maneno matupu hayawezi, kwa ujumla, kuwa overt act au deed katika shtaka la uhaini"
Kwa Kiswahili: "Uhaini wa maneno haupo"
"Uhaini wa maneno haujawahi kuwa sehemu ya sheria zetu milele. Sheria ya uhaini ilikuja na Waingereza miaka ya 1920, lakini hata wakati huo maneno pekee hayakutosha - ilihitaji kitendo. Uganda pekee ndio ilikuwa na kipengele cha uhaini wa maneno, Tanzania na Kenya hatukuwa nacho." d452