Interested Observer
Platinum Member
- Mar 27, 2006
- 4,999
- 7,928
Ahukumiwe kwa sheria gani? Yote hayo mnajitengenezea janga huko mbele, maana ni laana kubwa kwa vizazi vijavyo. Na kama tutaishi kufika huko, sijui sura zenu mtaficha wapi! Kibri!!!!!!!!!!!!!!Ni muhimu kwa Lissu kuhukumiwa kwanza ndo apewe msamaha
Kaka Yericko
Embu tujuze kipi utafaidika au una faidika iwapo mpiganaji Tundu wa LISU akinyongwa?
Sote tunajua, ulishindwa kwenye harakati za chama na kikundi Chako kuwania madaraka ya kumbakisha aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema ndugu Aikael Mbowe.
Ninyi mliamini kwenye siasa za kimkakati ambapo mlikuwa mnaingia mkataba kanjanja na serikari ili mnufaike binafsi kwa mamia na maelfu ya wanachadema kuumia.
Mnajua kesi za mchongo na ushahidi wa kubumba.
Ila kwa nini sasa, inaonyesha wazi kufurahia kifo chake!
Akifa ndio mtaaminiwa na wanachadema?
Akifa ndio itaweza kumrudisha mwenyekiti wako ?
Akifa Chauma itachukua nafasi ya Chadema?
Una jiharibia heshima yako.
Mwenzako yupo kwenye payroll Kila siku Kuna hela anailamba, muache bhana apige hela.
Ila atambue Kwamba hii Dunia inazunguka vizuri...what goes around comes around...hivyo visenti anavyolipwa hajui vinamdhalilisha UTU wake.
Majuto ni Mjukuu
Samia alifaidika nini na mauaji ya 2025?Kaka Yericko
Embu tujuze kipi utafaidika au una faidika iwapo mpiganaji Tundu wa LISU akinyongwa?
Sote tunajua, ulishindwa kwenye harakati za chama na kikundi Chako kuwania madaraka ya kumbakisha aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema ndugu Aikael Mbowe.
Ninyi mliamini kwenye siasa za kimkakati ambapo mlikuwa mnaingia mkataba kanjanja na serikari ili mnufaike binafsi kwa mamia na maelfu ya wanachadema kuumia.
Mnajua kesi za mchongo na ushahidi wa kubumba.
Ila kwa nini sasa, inaonyesha wazi kufurahia kifo chake!
Akifa ndio mtaaminiwa na wanachadema?
Akifa ndio itaweza kumrudisha mwenyekiti wako ?
Akifa Chauma itachukua nafasi ya Chadema?
Una jiharibia heshima yako.
Hata km sio kwa yule Tahira. KhaahJasusi hana sura
Hao waliokuwa wananunua unahis wako sawa kiakili?Nilikua nashangaa watu wananunua vitabu kwake eti ni jasusi, wakati ukimuona tu unajua hayuko sawa kiakili.
Lol
Ili swali lilipaswa lipelekwe kwa kwa huyo uliyemtaja au Yericko kibaraka wao.Samia alifaidika nini na mauaji ya 2025?
Relax na ujikite kwenye hoja mahususi mezani gentleman, bila kujaribu kuhamisha mjadala kwa mambo ambayo hayahusiani na hoja yenyewe na itapendeza zaidi 🐒Ulisema mabwanyenye una maanisha nini?
Marekani inayowapa misaada na kuja kufanya majaribio ya chanjo au Waomani tuliowapa bandari, mbuga za wanyama waendeshe kwa manufaa yao?
Au unaposema mabwanyenye unawasema Wanorway, Waswedish, Wadenmark wanaotoa misaada ya kiutu Hadi kwa chama Cha mapinduzi?
Au unawasema Wajapan wanaokusaidia kujenga madaraja?
Au wachina waliojenga Hadi chuo Cha Ccm kule kibaha?
Na tukawapa Reli ya Tazara kwa muda wa miaka 27 😀😀😀😀😀
Au wabelgiji ambao wamekumbatiwa na serikari ya Tanzania?
Au Warusi na kuwapa madini ya Uranium huku sisi tukinunua siraha?
Embu nipe tafsiri sahihi ya hao tuwaitao mabwanyenye na wabia wa maendeleo tofauti yao?
Tumuonee huruma fundi umeme yule.Hata km sio kwa yule Tahira. Khaah
Nilichomaanisha mtu mwovu hahitaji sababu kufanya uovu wake.Ili swali lilipaswa lipelekwe kwa kwa huyo uliyemtaja au Yericko kibaraka wao.
Si umetaja mabwanyenye 😀😀😀Relax na ujikite kwenye hoja mahususi mezani gentleman, bila kujaribu kuhamisha mjadala kwa mambo ambayo hayahusiani na hoja yenyewe na itapendeza zaidi 🐒
Mara unasikii zii. Kapata ajali anaomba msaada wa kununuliwa kigariKaka Yericko
Embu tujuze kipi utafaidika au una faidika iwapo mpiganaji Tundu wa LISU akinyongwa?
Sote tunajua, ulishindwa kwenye harakati za chama na kikundi Chako kuwania madaraka ya kumbakisha aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema ndugu Aikael Mbowe.
Ninyi mliamini kwenye siasa za kimkakati ambapo mlikuwa mnaingia mkataba kanjanja na serikari ili mnufaike binafsi kwa mamia na maelfu ya wanachadema kuumia.
Mnajua kesi za mchongo na ushahidi wa kubumba.
Ila kwa nini sasa, inaonyesha wazi kufurahia kifo chake!
Akifa ndio mtaaminiwa na wanachadema?
Akifa ndio itaweza kumrudisha mwenyekiti wako ?
Akifa Chauma itachukua nafasi ya Chadema?
Una jiharibia heshima yako.
Kama nani vile?Lisu amesababisha vifo vya watu wengi sana
Hasara ipo kumkosa mtetezi wa Haki za Binadamu Duniani.Kwani tundu akifa wewe utapata hasara gani wewe kama wewe.
Ni sheria lazima kila mtu aonje umauti, kinachochanganya ni njia zinazotumika mtu kufikia umauti wa kimwili.
Siombei baya kwa mtu yoyoteMara unasikii zii. Kapata ajali anaomba msaada wa kununuliwa kigari
Nahisi nao ni matahira km yeye tu.Hao waliokuwa wananunua unahis wako sawa kiakili?
Wa nini?Tumuonee huruma fundi umeme yule.
Shetani kwake damu ni sadaka na zindiko.Kaka Yericko