Yericko Nyerere utafaidika na nini iwapo Lissu akinyongwa?

Ahukumiwe kwa sheria gani? Yote hayo mnajitengenezea janga huko mbele, maana ni laana kubwa kwa vizazi vijavyo. Na kama tutaishi kufika huko, sijui sura zenu mtaficha wapi! Kibri!!!!!!!!!!!!!!
Mambo ya laana kwa vizazi vijavyo hakunaga. Watoto wa Osama, Idd Amin, Agusto Pinochet, Mobutu na wengine bado wako hai wanakula maisha. Makosa yako utayabeba mwenyewe hakuna laana ya kizazi.
 
Kila kitu kina mwanzo wako. Lissu ndo atakuwa wa kwanza kuhukumiwa kwa kupitia maneno yake ya kishenzi. Kama alitegemea historia ya hizo kesi 2 zimuokoe atubu bado ni mapema.
 
Tundu Lissu akinyongwa, Chaumma itachukua nchi, Yericko Nyerere atakuwa rahisi... yes... rahisi kuuza nchi
 
Mambo ya laana kwa vizazi vijavyo hakunaga. Watoto wa Osama, Idd Amin, Agusto Pinochet, Mobutu na wengine bado wako hai wanakula maisha. Makosa yako utayabeba mwenyewe hakuna laana ya kizazi.
Nawajua watatu, hao wa Mobutu wote washakufa na kunywa na ulafi na kuwa na Uric acid na kuaga dunia, uliza watoto wa Nguema, hao wa Idd Amin wako wapi, wa Gadafi wako wapi, wa Sadam wako wapi? Kwa taarifa yako mcheza kwao hutunzwa hao wote hawaishi kwao, wako Third class citizens nchi za watu
 
Mjinga kitambo tu, Walau CDM ilimpa platform ya kufua akili zake. Takataka Yericko Nyerere
Niliwahi kumchamba kwenye page yake ya FB, akaishia kuniambia bahati yako unatumia I'd fake ningekutafuta kukufunza adabu. Nikamjibu wewe ndio umefunzwa hapo ulipo una haha, na vitabu vimekosa soko tahira wewe.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mi nilicomment humu kwenye uzi wake nilikuwa mgeni. Nikacomment huu ndio uchambuzi wa kijasusi? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Alinichambaaa Asa mi kosa langu nini πŸ˜€πŸ˜…
 
Sio Yericko tu anayetaka Lissu anyongwe hadi kufa. Tupo wengi!
 
Mi nilicomment humu kwenye uzi wake nilikuwa mgeni. Nikacomment huu ndio uchambuzi wa kijasusi? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Alinichambaaa Asa mi kosa langu nini πŸ˜€πŸ˜…
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tahira huyu, mie humu kani ignore, nilikua namuambia wazi, yeye ni shigongo kwenye sekta ya ulinzi bas.
Aache utapeli wake, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ifike mahali wajinga wasio na maana kama huyo kibaka wa CCM msiwape umuhimu.

Huyo anatumika na Abdul na pesa ya Abdul inafanya hadi mtu ajivue utu ili kumfurahisha tu Abdul.

Fikiria mtu anakubali kwenda kufungiwa kwenye banda la mbwa mahakamani kutoa ushahidi wa uongo, huyo mtu mnamuona bado ni timamu?
 
Yeriko ni miongoni mw waliopoteza malengo yao baada ya mbowe kushindwa kwenye ule uchaguzi maana alikua kashaahidiwa kitengo cha juu pale ndo maana mpaka sasa ana ganzi haamini kilichotokea
 
Kwani tundu akifa wewe utapata hasara gani wewe kama wewe.

Ni sheria lazima kila mtu aonje umauti, kinachochanganya ni njia zinazotumika mtu kufikia umauti wa kimwili.
Hasara ni kubwa sana kwa watanzania kumpoteza lissu mmoja kuliko wakipotea hawa wote kwa pamoja kikwete,samia ,mwigulu,na ndejembi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…