Yericko Nyerere utafaidika na nini iwapo Lissu akinyongwa?

Nilikua nashangaa watu wananunua vitabu kwake eti ni jasusi, wakati ukimuona tu unajua hayuko sawa kiakili.
Lol

una akili sana mimi namwonaga Yericko kama mtu mjinga flani hivi mwenye confidence
 
Huyo pimbi habari zake msiwe mnazileta humu JF Zinatushushia heshima
huyu msaliti alitakiwa kufungwa jiwe kubwa shingoni na kutoswa katikati ya bahari.
 
Yericko Nyerere unaitwa huku. Njoo ujibu hoja..

Na ni kweli, huyu jamaa na wenzake tangu wapigwe chini kwenye uchaguzi wa 21/1/2025, hii mijamaa miabudu uchawi na ulozi walishachanganyikiwa moja kwa moja..

Yaani, they're in total confusion kiasi ambacho inafikia wakati wanafyatua nonsense kama wajinga fulani waliokusanyana msituni kuroga...

Huyu Yericko Nyerere ndiye hovyo kabisa....

Inafikia wakati unajiuliza huyu aliwezaje kupata hivyo vijituzo vya mambo yake Yale ya kipuuzi iwapo ni roporopo kiasi hiki!!??

Aah, Mungu Yehova na mrehemu Yericko Nyerere na umpe akili ya kujitambua na kutubu..
 
Ni upuuzi kutaka Lissu anyongwe. Hata kutaka afungwe pia ni upuuzi. Kama Yericko kasema haya, atakuwa anajisemea mwenyewe.

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…