Yesu akirudi leo atasali wapi? Kwa Wayahudi, RC /Wasabato au Kwa Walokole? Au Mashahidi wa Yehova? Naomba majibu

Kwahiyo walioanzisha makanisa wamekosea?
 
Akirudi duniani haji kusali. Anakuja kuhukumu
 
Ili umwamini kwamba kaja anaweza kuanza kutenda miujiza kwako tena kakukumbusha kwamba anakuja
Namwamini lakini naulizwa dhehebu langu as if kumwamini pekee haitoshi!!
 
Wapo maeneo tofauti tofauti. Kuna ambao ni Wakristo na ambao hawabudu humo lakini Wana Yesu kama Bwana na mwokozi wao. Ufunguo sio kuwa dhebehu fulani, ufunguo ni uhusiano binafsi kati yako na Yesu.
Alisema kila pando ambalo hakulipanda baba yangu litang'olewa katika utitiri wa makanisa ukute La ukweli ni moja tu
 
Yes hana sini,
 
UBAGUZI MPAKA KWA MADHEHEBU..
*WAANGLIKANA
*MORAVIAN
*AIC
*KKKT

HAYO MADHEBU MBONA HUJAYATAJA?
 
UBAGUZI MPAKA KWA MADHEHEBU..
*WAANGLIKANA
*MORAVIAN
*AIC
*KKKT

HAYO MADHEBU MBONA HUJAYATAJA?
Nafasi haijatosha, List inaweza kuendelea, lakini nimeyaweka kwa makundi
Mfano RC na Orthodox peke yao,
Kuna KKKT, anglican, AIC,
Kuna Wasabato na Judaism (conservatives),
Kuna Walokole wote (TAG, EAGT, )
makanisa ya mitume na manabii mwamposa, Kuhani Musa nk.
List ni ndefu mkuu natumaini umeelewa point yangu
 
Alisema kila pando ambalo hakulipanda baba yangu litang'olewa katika utitiri wa makanisa ukute La ukweli ni moja tu
Kanisa la Yesu sio majengo, ni watu. Mwili wake haujajengwa na "organization" Bali umejengwa na watu wanaomfuata.
 
Yesu hatakuja kusali.. atakuja kuhukumu waliohai na wafu..

Biblia imeelezwa yote hayo nashangaa unavyopotosha

Kingine inaonesha ulivyo mweupe kichwani haujui nini unaandika wala haujui nini maana ya Imani..
 
Kwani Mohammad akifufuka Leo ataingia msikiti wa shia,ahmdiya,Suni au sarafi?
 
Soma hoja hizi mbili utajua Yesu atasali kanisa gani
1: Ocult in pentecost church
2; New spritism
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…