Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo walioanzisha makanisa wamekosea?Kuihubiri injili hakuna maana ya watu kuanzisha makanisa...
Imeandikwa hivi:
Marko 16
15 Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
16 Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
Lengo la kwenda kuihubiri injili imelenga kuwe na matokeo mawili ambayo yametajwa hapo kwenye rangi nyekundu, na endapo kutakuwa kuna ukaidi basi hatma imetajwa pia...
Akirudi duniani haji kusali. Anakuja kuhukumuNawasalimu wote.
Kumekuwepo na mjadala kuhusu ipi dini ya Kweli, huu ni mjadala wa siku nyingine. Leo nataka tumuongelee YESU KRISTU.
Wakati akiwa hapa duniani, Yesu alionekana hekaluni akihubiri injili, Wayahudi hawakupendezwa sana wakisema anakufuru na kupelekea kumsulubisha msalabani.
Baada ya kifo na ufufuo wake (Kama ilivyoandikwa) ndipo lilianza vuguvugu la kanisa la kwanza!
Ukiwauliza RC watakwambia, Papa wa Kwanza ni Mt Petro na alikuwa mwanafunzi wa Yesu. Ukiwauliza Walokole nao watakwambia wao ndio wapo sahihi, Vivyo Hivyo kwa Wasabato au Mashahidi wa Yehova!
Kama biblia inayotumika ni moja inakuwaje kuna mgongano huu mkubwa?
Je, ni kitu gani hawatuambii?
Wapo maeneo tofauti tofauti. Kuna ambao ni Wakristo na ambao hawabudu humo lakini Wana Yesu kama Bwana na mwokozi wao. Ufunguo sio kuwa dhebehu fulani, ufunguo ni uhusiano binafsi kati yako na Yesu.Watu hao wanyenyekevu atakaowachukua wanasali wapi?
Alisema kila pando ambalo hakulipanda baba yangu litang'olewa katika utitiri wa makanisa ukute La ukweli ni moja tuWapo maeneo tofauti tofauti. Kuna ambao ni Wakristo na ambao hawabudu humo lakini Wana Yesu kama Bwana na mwokozi wao. Ufunguo sio kuwa dhebehu fulani, ufunguo ni uhusiano binafsi kati yako na Yesu.
Yes hana sini,Nawasalimu wote.
Kumekuwepo na mjadala kuhusu ipi dini ya Kweli, huu ni mjadala wa siku nyingine. Leo nataka tumuongelee YESU KRISTU.
Wakati akiwa hapa duniani, Yesu alionekana hekaluni akihubiri injili, Wayahudi hawakupendezwa sana wakisema anakufuru na kupelekea kumsulubisha msalabani.
Baada ya kifo na ufufuo wake (Kama ilivyoandikwa) ndipo lilianza vuguvugu la kanisa la kwanza!
Ukiwauliza RC watakwambia, Papa wa Kwanza ni Mt Petro na alikuwa mwanafunzi wa Yesu. Ukiwauliza Walokole nao watakwambia wao ndio wapo sahihi, Vivyo Hivyo kwa Wasabato au Mashahidi wa Yehova!
Kama biblia inayotumika ni moja inakuwaje kuna mgongano huu mkubwa?
Je, ni kitu gani hawatuambii?
UBAGUZI MPAKA KWA MADHEHEBU..Nawasalimu wote.

Nafasi haijatosha, List inaweza kuendelea, lakini nimeyaweka kwa makundiUBAGUZI MPAKA KWA MADHEHEBU..
*WAANGLIKANA
*MORAVIAN
*AIC
*KKKT
HAYO MADHEBU MBONA HUJAYATAJA?
Kanisa la Yesu sio majengo, ni watu. Mwili wake haujajengwa na "organization" Bali umejengwa na watu wanaomfuata.Alisema kila pando ambalo hakulipanda baba yangu litang'olewa katika utitiri wa makanisa ukute La ukweli ni moja tu
Mohammad akifufuka Leo ataingia msikiti wa shia,ahmdiya,Suni au sarafi?Nawasalimu wote.
Kumekuwepo na mjadala kuhusu ipi dini ya Kweli, huu ni mjadala wa siku nyingine. Leo nataka tumuongelee YESU KRISTU.
Wakati akiwa hapa duniani, Yesu alionekana hekaluni akihubiri injili, Wayahudi hawakupendezwa sana wakisema anakufuru na kupelekea kumsulubisha msalabani.
Baada ya kifo na ufufuo wake (Kama ilivyoandikwa) ndipo lilianza vuguvugu la kanisa la kwanza!
Ukiwauliza RC watakwambia, Papa wa Kwanza ni Mt Petro na alikuwa mwanafunzi wa Yesu. Ukiwauliza Walokole nao watakwambia wao ndio wapo sahihi, Vivyo Hivyo kwa Wasabato au Mashahidi wa Yehova!
Kama biblia inayotumika ni moja inakuwaje kuna mgongano huu mkubwa?
Je, ni kitu gani hawatuambii?
Nimekwambia akija anakuja kutoa hukumu siyo kusali.Atakuja kuwachukua walio wake je watu Hawa wanapatikanaje? Wanasali wapi
Soma hoja hizi mbili utajua Yesu atasali kanisa ganiNawasalimu wote.
Kumekuwepo na mjadala kuhusu ipi dini ya Kweli, huu ni mjadala wa siku nyingine. Leo nataka tumuongelee YESU KRISTU.
Wakati akiwa hapa duniani, Yesu alionekana hekaluni akihubiri injili, Wayahudi hawakupendezwa sana wakisema anakufuru na kupelekea kumsulubisha msalabani.
Baada ya kifo na ufufuo wake (Kama ilivyoandikwa) ndipo lilianza vuguvugu la kanisa la kwanza!
Ukiwauliza RC watakwambia, Papa wa Kwanza ni Mt Petro na alikuwa mwanafunzi wa Yesu. Ukiwauliza Walokole nao watakwambia wao ndio wapo sahihi, Vivyo Hivyo kwa Wasabato au Mashahidi wa Yehova!
Kama biblia inayotumika ni moja inakuwaje kuna mgongano huu mkubwa?
Je, ni kitu gani hawatuambii?
Hata hao wanao ponya pia wanatangulia mbele za haki kutesa kwa zamu tuongeze imani yaani tuenende kwa kumpendeza MuumbaNamwamini lakini naulizwa dhehebu langu as if kumwamini pekee haitoshi!!
Good thinkingAtaanzisha kanisa lake