Sipendi kushindana na mjinga, Mungu si wa kumuoneshea arrogance bwanamdogo. Upumbavu wa Mungu uko juu sana kuliko akili na ufahamu wako. Acha kujifanya mjuaji fanya mambo yaliyo ndani ya uwezo wako. Marekani na maendeleo yao yote ya sayansi na teknolojia wanamwamini Mungu sasa nyani km ww kwanini usitulie. Au mwenzetu mchawi?
Ujinga siyo tusi ni kutojua kitu ila upumbavu ndo mbaya zaidi. Ujinga ni kuamini hata upuuzi huu ndiyo hupelekea upumbavu. Unalazimisha logic na imani yako bila ushawishi kimantiki. Sasa Marekani inaingiaje? Mbona pia wanaruhusu usenge na hamuukubali kwa sababu Marekani imeuridhia. Kama hujui kubali hujui. Dhana ya Mungu kwa wenye kuwaza sawa sawa ni tata hasa inapofunikwa kwenye mila na maslahi ya siri ya waliozileta. Kuna kitabu nimekiona sehemu kinaitwa The Curse of Salvation by Nkwazi Mhango. Nakushauri ukisome lau unaweza kujifunza kitu na kuacha uzwazwa. Unamtetea Mungu tena kwa ujinga na vitisho ili umtishe nani? Kwa taarifa yako mie si bwana mdogo kama unavyodhani. Ni mzee mwenye lau kujielimisha. Hivyo, shika adabu na adabu ikushike mwanangu mjinga anayeelekea pabaya. Nashauri ujielimishe na kupima hoja usionekane mpumbavu. Ni ushauri tu. Kwa kutumia mantiki nyepesi, nakushauri ujikumbushe matukio kadhaa.
Mosi, Mungu anaweza kuingia kwenye tumbo chafu la mwanamke? Je Yesu alipokuwa kwenye tumbo la Maria, kama ni kweli, wakati huo Mungu alikuwa wapi na nani alikuwa akiendesha dunia?
Pili, Mungu anaweza kulalalamika na kuhisi kiu?
Tatu, Mungu anaweza kutozwa kodi?
Mungu anaweza kusulubiwa tena na binadamu? Rejea maneno yake Eloi Eloi Rama Sabakhtani Ewe Mungu, Ewe Mungu, mbona waniacha. Inakuwaje Mungu anakuwa na Mungu?
Nne, Mungu anaweza kuwa na baba na mama? Rejea Nakwenda kwa baba yangu ambaye ni baba yenu, Mungu wangu ambaye ni Mungu wenu, Yohana 20:17.
Naona nisikuchoshe. Ila jua watu wanasoma na kufikiri na siyo kusoma na kukariri kama wale wengine pamoja na nyinyi. Matayo 15:14 anaonya kuwa mjinga huamini kila jambo.
Nadhani hii itakuingia barabara mwanangu