Yesu ni Mungu. Kwanini alijalibiwa na kiumbe alichokiumba (shetani) Huoni kama alionyesha udhaifu wake?

Yesu ni Mungu. Kwanini alijalibiwa na kiumbe alichokiumba (shetani) Huoni kama alionyesha udhaifu wake?

Hii tena mpya na kali kuliko zote.

Kwamba suala la Adam kuwa kiumbe wa kwanza kuumbwa ni fix tu au?

Halafu Yesu anamsaidiaje Mungu katika uumbaji wa viumbe vingine ina maana Mungu muweza wa yote alihitaji msaada?

Ninavyojua mimi Mungu ni muweza wa yote na akisema kuwa basi inakuwa.

Nipe andiko linalosema Yesu aliumbwa kama binadamu wa kwanza na jukumu lake lilikuwa kumsaidia Mungu katika uumbaji tafadhali. 🙏
adamu alikuwa ni binadamu wa kwanza kuumbwa na sio kiumbe wa kwanza
 
1.Kama wewe ni mwana wa Mungu geuza jiwe kuwa mkate
2. Ukinisujudia nitakupa mali zote za ulimwengu

Mali zote ni za Mungu kwani Shetani ampe Mungu ahadi na masharti yote hayo?

1.Kama wewe ni mwana wa Mungu geuza jiwe kuwa mkate
2. Ukinisujudia nitakupa mali zote za ulimwengu

Mali zote ni za Mungu kwani Shetani ampe Mungu ahadi na masharti yote hayo?
Hii tafakuri Yako na Maulizo Yako, yatakupeleka kunako mithili ya jeremo.

Miaka ya 90's Mwishoni kabla Tv television hazijasambaa Tanzania.

Filamu ya Yesu mnazaleti, ilikuwa ikioneshwa Kanisa au au katika eneo la wazi, Waumini na Watu kibao walikuwa wanalia sana machozii.

Hicho kipande Cha Yesu kujaribiwa,, anatokea joka Mkubwa Watu walikuwa wanasisimuka sana, Joka linajiburuza TU.
 
Mambo ya utatu Mtakatifu.

Baba, mwana na roho mtakatifuu.

Hii kesi tunamuachia Mfalme constantini na Nicaea atoe hukumu.
 
Mungu aliishi ndani ya yle mwili wa kafara.
Ulioharibiwa ulikuwa mwili
 
1.Kama wewe ni mwana wa Mungu geuza jiwe kuwa mkate
2. Ukinisujudia nitakupa mali zote za ulimwengu

Mali zote ni za Mungu kwani Shetani ampe Mungu ahadi na masharti yote hayo?
Kama Yesu ni Mungu na Shetani ni Mungu.
 
Kwani wewe hupumui na unayosema si matokeo ya kiburi cha uzwazwa wa imani mnaotuita wenye dhambi?
Sipendi kushindana na mjinga, Mungu si wa kumuoneshea arrogance bwanamdogo. Upumbavu wa Mungu uko juu sana kuliko akili na ufahamu wako. Acha kujifanya mjuaji fanya mambo yaliyo ndani ya uwezo wako. Marekani na maendeleo yao yote ya sayansi na teknolojia wanamwamini Mungu sasa nyani km ww kwanini usitulie. Au mwenzetu mchawi?
 
Ujinga siyo tusi ni kutojua kitu ila upumbavu ndo mbaya zaidi. Ujinga ni kuamini hata upuuzi huu ndiyo hupelekea upumbavu. Unalazimisha logic na imani yako bila ushawishi kimantiki. Sasa Marekani inaingiaje? Mbona pia wanaruhusu usenge na hamuukubali kwa sababu Marekani imeuridhia. Kama hujui kubali hujui. Dhana ya Mungu kwa wenye kuwaza sawa sawa ni tata hasa inapofunikwa kwenye mila na maslahi ya siri ya waliozileta. Kuna kitabu nimekiona sehemu kinaitwa The Curse of Salvation by Nkwazi Mhango. Nakushauri ukisome lau unaweza kujifunza kitu na kuacha uzwazwa. Unamtetea Mungu tena kwa ujinga na vitisho ili umtishe nani? Kwa taarifa yako mie si bwana mdogo kama unavyodhani. Ni mzee mwenye lau kujielimisha. Hivyo, shika adabu na adabu ikushike mwanangu mjinga anayeelekea pabaya. Nashauri ujielimishe na kupima hoja usionekane mpumbavu. Ni ushauri tu. Kwa kutumia mantiki nyepesi, nakushauri ujikumbushe matukio kadhaa.
Mosi, Mungu anaweza kuingia kwenye tumbo chafu la mwanamke? Je Yesu alipokuwa kwenye tumbo la Maria, kama ni kweli, wakati huo Mungu alikuwa wapi na nani alikuwa akiendesha dunia?
Pili, Mungu anaweza kulalalamika na kuhisi kiu?
Tatu, Mungu anaweza kutozwa kodi?
Mungu anaweza kusulubiwa tena na binadamu? Rejea maneno yake Eloi Eloi Rama Sabakhtani Ewe Mungu, Ewe Mungu, mbona waniacha. Inakuwaje Mungu anakuwa na Mungu?
Nne, Mungu anaweza kuwa na baba na mama? Rejea Nakwenda kwa baba yangu ambaye ni baba yenu, Mungu wangu ambaye ni Mungu wenu, Yohana 20:17.
Naona nisikuchoshe. Ila jua watu wanasoma na kufikiri na siyo kusoma na kukariri kama wale wengine pamoja na nyinyi. Matayo 15:14 anaonya kuwa mjinga huamini kila jambo.
Nadhani hii itakuingia barabara mwanangu
 
Back
Top Bottom