Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo kwa maana ya roho siyo ule mwiliKwahyo Yesu ni Mungu sasa au?
Ukristo kweli sio dini,haya lete andiko ya hiki ulichoandika mkuu!? Dah inasikitisha sanaYesu alikua ni Mungu na mwanadamu kwa wakati mmoja, so shetani alikua anaijaribu ile part ya mwanadamu ila sio ya Mungu
Nimesema najitaji kusoma tenaKwahyo mkuu uliamua kushika kipi sasa kati ya hivyo?
adamu alikuwa ni binadamu wa kwanza kuumbwa na sio kiumbe wa kwanzaHii tena mpya na kali kuliko zote.
Kwamba suala la Adam kuwa kiumbe wa kwanza kuumbwa ni fix tu au?
Halafu Yesu anamsaidiaje Mungu katika uumbaji wa viumbe vingine ina maana Mungu muweza wa yote alihitaji msaada?
Ninavyojua mimi Mungu ni muweza wa yote na akisema kuwa basi inakuwa.
Nipe andiko linalosema Yesu aliumbwa kama binadamu wa kwanza na jukumu lake lilikuwa kumsaidia Mungu katika uumbaji tafadhali. 🙏
kwann mkuuYaan
Inasikitisha kuona eti yesu ni mungu
1.Kama wewe ni mwana wa Mungu geuza jiwe kuwa mkate
2. Ukinisujudia nitakupa mali zote za ulimwengu
Mali zote ni za Mungu kwani Shetani ampe Mungu ahadi na masharti yote hayo?
Hii tafakuri Yako na Maulizo Yako, yatakupeleka kunako mithili ya jeremo.1.Kama wewe ni mwana wa Mungu geuza jiwe kuwa mkate
2. Ukinisujudia nitakupa mali zote za ulimwengu
Mali zote ni za Mungu kwani Shetani ampe Mungu ahadi na masharti yote hayo?
Uwezo wako ni mdogo sana kuliko upumbavu wa MunguKwanini kila kitu asimalize yeye kama yeye tu mpaka kuwepo na majaribu?
Kama Yesu ni Mungu na Shetani ni Mungu.1.Kama wewe ni mwana wa Mungu geuza jiwe kuwa mkate
2. Ukinisujudia nitakupa mali zote za ulimwengu
Mali zote ni za Mungu kwani Shetani ampe Mungu ahadi na masharti yote hayo?
Kwasababu unapumua huumwi chochote waweza kusema lolote kwa kiburi cha uzimaKama Yesu ni Mungu na Shetani ni Mungu.
Kwani wewe hupumui na unayosema si matokeo ya kiburi cha uzwazwa wa imani mnaotuita wenye dhambi?Kwasababu unapumua huumwi chochote waweza kusema lolote kwa kiburi cha uzima
Sipendi kushindana na mjinga, Mungu si wa kumuoneshea arrogance bwanamdogo. Upumbavu wa Mungu uko juu sana kuliko akili na ufahamu wako. Acha kujifanya mjuaji fanya mambo yaliyo ndani ya uwezo wako. Marekani na maendeleo yao yote ya sayansi na teknolojia wanamwamini Mungu sasa nyani km ww kwanini usitulie. Au mwenzetu mchawi?Kwani wewe hupumui na unayosema si matokeo ya kiburi cha uzwazwa wa imani mnaotuita wenye dhambi?
Ujinga siyo tusi ni kutojua kitu ila upumbavu ndo mbaya zaidi. Ujinga ni kuamini hata upuuzi huu ndiyo hupelekea upumbavu. Unalazimisha logic na imani yako bila ushawishi kimantiki. Sasa Marekani inaingiaje? Mbona pia wanaruhusu usenge na hamuukubali kwa sababu Marekani imeuridhia. Kama hujui kubali hujui. Dhana ya Mungu kwa wenye kuwaza sawa sawa ni tata hasa inapofunikwa kwenye mila na maslahi ya siri ya waliozileta. Kuna kitabu nimekiona sehemu kinaitwa The Curse of Salvation by Nkwazi Mhango. Nakushauri ukisome lau unaweza kujifunza kitu na kuacha uzwazwa. Unamtetea Mungu tena kwa ujinga na vitisho ili umtishe nani? Kwa taarifa yako mie si bwana mdogo kama unavyodhani. Ni mzee mwenye lau kujielimisha. Hivyo, shika adabu na adabu ikushike mwanangu mjinga anayeelekea pabaya. Nashauri ujielimishe na kupima hoja usionekane mpumbavu. Ni ushauri tu. Kwa kutumia mantiki nyepesi, nakushauri ujikumbushe matukio kadhaa.Sipendi kushindana na mjinga, Mungu si wa kumuoneshea arrogance bwanamdogo. Upumbavu wa Mungu uko juu sana kuliko akili na ufahamu wako. Acha kujifanya mjuaji fanya mambo yaliyo ndani ya uwezo wako. Marekani na maendeleo yao yote ya sayansi na teknolojia wanamwamini Mungu sasa nyani km ww kwanini usitulie. Au mwenzetu mchawi?
Mkuu nisha kuja, hana hoja huyo, kila niki soma adi nacheka peke yanguk290 na huku kunakufaa
Yakobo 1:17 MUNGU habadilikiYesu alikua ni Mungu na mwanadamu kwa wakati mmoja, so shetani alikua anaijaribu ile part ya mwanadamu ila sio ya Mungu