Huyo MUNGU alioa lini?, nijibu hili ukishindwa please njoo ktk dini ya kweli uislamu inshallah,Majaribu yaliwekwa ili kuona kama mwana wa MUNGU (YESU) Imani yake Iko thabiti akiwa katika umbile la kibinadamu na ili kuwatengenezea wanadamu namna wanatakiwa wawe kiimani
Note mimi jibu ninalo kutoka Ktk bibilia