Yesu ni Mungu. Kwanini alijalibiwa na kiumbe alichokiumba (shetani) Huoni kama alionyesha udhaifu wake?

Yesu ni Mungu. Kwanini alijalibiwa na kiumbe alichokiumba (shetani) Huoni kama alionyesha udhaifu wake?

Majaribu yaliwekwa ili kuona kama mwana wa MUNGU (YESU) Imani yake Iko thabiti akiwa katika umbile la kibinadamu na ili kuwatengenezea wanadamu namna wanatakiwa wawe kiimani
Huyo MUNGU alioa lini?, nijibu hili ukishindwa please njoo ktk dini ya kweli uislamu inshallah,
Note mimi jibu ninalo kutoka Ktk bibilia
 
Kaka Unajua kusoma,soma hapo
Mengine ni upuuzi unauliza na Mungu hapendi wanjinga
Hayo si maneno ya YESU, hapo mna msemea YESU, yaani hapo ni story ya YESU, na ndio hata UUNGU wake ni wa ku pachikwa, ha ku jiita
 
1.Kama wewe ni mwana wa Mungu geuza jiwe kuwa mkate
2. Ukinisujudia nitakupa mali zote za ulimwengu

Mali zote ni za Mungu kwani Shetani ampe Mungu ahadi na masharti yote hayo?
Na YESU alimjibuje?

Na majibu ya YESU yanakupa ishara gani kuhusu Uungu wake?
 
Shetani mwenyewe anasema kama wewe ni mwana wa MUNGU geuza Hilo jiwe liwe mkate ila hakusema kama wewe ni mungu!!!

Hilo linamaanisha KWAMBA YESU SIO MUNGU...
Sasa mwana wa Mungu anakuaje sio Mungu, yaani na kusema mwana wa binadam sio binadam
 
Na YESU alimjibuje?

Na majibu ya YESU yanakupa ishara gani kuhusu Uungu wake?
Ishara ipi wewe?, hakuna ishara wala nini, je yesu alisema yeye mwenyewe?, YESU hapo haku jiita MUNGU, leta andiko linalo sema mimi YESU ni MUNGU
 
Ishara ipi wewe?, hakuna ishara wala nini, je yesu alisema yeye mwenyewe?, YESU hapo haku jiita MUNGU, leta andiko linalo sema mimi YESU ni MUNGU
Nililete wapi hilo andiko?

Hayo aloandika mleta mada kayatoa wapi?

Na umerejea alikoyatoa ukasoma hadi mwisho?
 
Nililete wapi hilo andiko?

Hayo aloandika mleta mada kayatoa wapi?

Na umerejea alikoyatoa ukasoma hadi mwisho?
Mtoa mada kauliza ikiwa "YESU ni MUNGU kwa nini ajaribiwe na shetani?

Sasa nika sema YESU sio mungu maana hana sifa za UUNGU

Note hayo si maneno yangu hayo ni maneno ya bibilia
 
Sasa mwana wa Mungu anakuaje sio Mungu, yaani na kusema mwana wa binadam sio binadam
We jamaa bhana. Soma 1 Wakorintho 8:5-6:

"Kwa maana ijapokuwa wako waitwao miungu, ama mbinguni ama duniani; kama vile wako miungu wengi, na mabwana wengi; lakini kwetu sisi Mungu ni mmoja tu, aliye Baba, ambaye vitu vyote vimetoka kwake, nasi tunaishi kwake; na Bwana mmoja tu, Yesu Kristo, ambaye vitu vyote vimekuwapo kwa yeye, na sisi kwa yeye."

Hili andiko linafafanua kwamba ingawa watu wengine wanaweza kuamini katika miungu mingi, kwa waumini wa Kikristo, Mungu ni mmoja tu na Bwana ni mmoja tu, Yesu Kris
to.
 
Yesu alikua ni Mungu na mwanadamu kwa wakati mmoja, so shetani alikua anaijaribu ile part ya mwanadamu ila sio ya Mungu
1 Wakorintho 8:5-6:

"Kwa maana ijapokuwa wako waitwao miungu, ama mbinguni ama duniani; kama vile wako miungu wengi, na mabwana wengi; lakini kwetu sisi Mungu ni mmoja tu, aliye Baba, ambaye vitu vyote vimetoka kwake, nasi tunaishi kwake; na Bwana mmoja tu, Yesu Kristo, ambaye vitu vyote vimekuwapo kwa yeye, na sisi kwa yeye."

Hili andiko linafafanua kwamba ingawa watu wengine wanaweza kuamini katika miungu mingi, kwa waumini wa Kikristo, Mungu ni mmoja tu na Bwana ni mmoja tu, Yesu Kris
to.
 
Mtoa mada kauliza ikiwa "YESU ni MUNGU kwa nini ajaribiwe na shetani?

Sasa nika sema YESU sio mungu maana hana sifa za UUNGU

Note hayo si maneno yangu hayo ni maneno ya bibilia
Ukasema wewe?

Wewe ndio umesema?

Nami nimekusihi rudi kwenye Biblia alikotoa hivyo visa karudie kusoma ukiwa na fikra haziegemei upande wowote...

Watu wanategemea Mungu awe kama jamaa flani hivi Dictator, hivi unataka kuniambia madhambi yote yanayofanyika hapa duniani kila sekunde Mungu haoni?
 
Back
Top Bottom