Yevgeny Prigozhin, Boss wa Wagner Group ahofiwa kufariki kwenye ajali ya ndege!

Yevgeny Prigozhin, Boss wa Wagner Group ahofiwa kufariki kwenye ajali ya ndege!

Boss wa Wagner afe kizembe hivyo huu ni mchezo wa kina putin wanatuchezea ile mjuwe keshakufa ili mrelax kumbe mtu yupo Africa huku anapiga kazi

Russia sahv wanatumia akili kubwa mno kugain influence

Miez kadhaa nyuma hata ile mapinduzi ya wagner kuelekea moscow ilikua ni movie tu kina biden wakaingizwa chaka kumbe ilikua ni technique ya kuhamishia wapiganaji Beralus ili waizunguke vizuri Ukraine utake kumpindua mtu Putin akuache hai kwa miez yote hyo na ukiwa belarus mara africa akuache tu[emoji23][emoji23]

Huyu jamaa atakuja kuibuka mtabaki mnaduwaa hii tension ya Niger inafanya Russia na Wagner wacheze karata yao kwa umakini sana
Hao nao wajinga, kila siku maigizo tu?. Kama wewe unaona ni maigizo ndio Ukraine asione ni maigizo?
 
Prigozhin ahofiwa kufariki katika Ajali ya Ndege

Watu 10 wameripotiwa kufariki kwenye ajali hiyo ya ndege

Watanzania tumuombee apumzike kwa amani!

Source: Al jazeera

====

Kwa mujibu wa Idara ya Habari ya Urusi (TASS), abiria 10 waliokuwa kwenye Ndege Binafsi wamefariki ambapo inaaminika Kiongozi wa Jeshi Binafsi la Wagner Group, Yevgeny Prigozhin naye alikuwepo kwenye Ndege hiyo

Taarifa za awali zilizoripotiwa na akaunti ya Grey Zone inayodaiwa kuwa na uhusiano na #WagnerGroup zimeeleza kuwa Ndege hiyo ilishambuliwa na Walinzi wa Anga katika Mkoa wa Tver, Kaskazini mwa Moscow

Juni 2023, Prigozhin aliongoza kilichoelezwa kuwa ni Uasi wa muda mfupi dhidi ya Wakuu wa Kijeshi wa Urusi ambapo Rais Vladimir Putin alimtaja Kiongozi huyo kama Msaliti.

View attachment 2726581
Yevgeny Prigozhin was passenger on crashed plane, Russian officials say Ten died when aircraft came down on flight from Moscow to St Petersburg, according to emergency ministry

Wagner boss Yevgeny Prigozhin was on the passenger list of a plane which crashed in Russia, killing all 10 on board. He was believed to be on board the plane. Earlier, a Wagner-linked Telegram channel Grey Zone reported that the jet was shot down by air defences in Tver region, north of Moscow.
Naskia imetunguliwa iyo. hakuna ajar hapo
 
Hapa si alikuwa ame outsource kama tunavyowapa kazi za ulinzi kampuni binafsi, kwa mazingira hayo kule itabidi aingie nchi kama nchi sasa
Hivi hii outsource sio tu kifuniko cha kuificha urusi na uingizaji wa jeshi nchi za wengine.TUNADANGANYWA SANA ILA MI NAONA NI KITENGO KAMILI CHA JESHI LA URUSI.ni mawazo yangu lakini.
 
Hivi hii outsource sio tu kifuniko cha kuificha urusi na uingizaji wa jeshi nchi za wengine.TUNADANGANYWA SANA ILA MI NAONA NI KITENGO KAMILI CHA JESHI LA URUSI.ni mawazo yangu lakini.
Unatakiwa uijuwe Urusi kwanza halafu haya mengine ndio utayajuwa.

Usipoijuwa Urusi huwezi kuelewa lolote kuhusu Wagner na bado kuna hawa Oligarchy unatakiwa kuwajuwa kwanza.
 
Unatakiwa uijuwe Urusi kwanza halafu haya mengine ndio utayajuwa.

Usipoijuwa Urusi huwezi kuelewa lolote kuhusu Wagner na bado kuna hawa Oligarchy unatakiwa kuwajuwa kwanza.
Ndio maana nikasema Tupambane kuwajua wazungu kiujumla kabla ya kubushania sana mipango taratibu na tabia zao.
 
Kiongozi wa kundi la wapiganaji wa Wagner, Yevgeny Prigozhin, pamoja na abiria wengine wote waliokuwemo kwenye ndege ndogo ya kukodi, wahofiwa kufa baada ya ndege hiyo kuanguka na kulipuka moto, Kaskazini Magharibi mwa jiji la Moscow. Yevgeny Prigozhin, jina lake limo kwenye orodha ya wasafiri wa ndege hiyo iliyoua abiria wote pamoja na wafanyakazi wa ndege.

Rais Biden akilielezea tukio hilo, amesema japo hajua ajali hiyo imetokeaji, lakinj hajashangazwa na kifo cha bwana Prigozhin, baada ya kuhusika na maasi. Biden, ameungana na watu wengi wanaosema kuwa Putin atakuwa nyuma ya ajali hiyo, na kwamba ajali hiyo ni ya kutengenezwa..

Jasusi wa Marekani, Leon Panetta, ameeleza kuwa kwa sasa anaamini Serikali ya Urusi itajaribu kuchukua uongozi kundi la Wagner.

Source: Aljezira, CNN, The Guardian, Telegraph

Updates: Wagner leader Yevgeny Prigozhin believed dead after jet crash

Video Duration 00 minutes 51 seconds00:51

Plane of Russian Wagner boss Yevgeny Prigozhin crashes near Moscow

By Dalia Hatuqa, Edna Mohamed, Hamza Mohamed and Brian Osgood

Published On 23 Aug 202323 Aug 2023.

This live blog is now closed. Thank you for joining us. These were the updates from Wednesday, August 23, following a plane crash in Russia believed to have resulted in the death of former Wagner boss Yevgeny Prigozhin:

Prigozhin, head of the Russian mercenary force Wagner, was listed among the passengers of a private jet that crashed north of Moscow, Russian authorities say. All 10 people aboard were killed.

:00 p.m. ET, August 23, 2023

"This is what happens when you make Putin look weak," says critic of Russian leader

From CNN staff

Bill Browder, a critic of Vladimir Putin, told CNN Wednesday he believes there is "no doubt" the Russian President is behind the crash of a plane purportedly carrying Wagner founder Yevgeny Prigozhin.

"Putin is a man who never forgives and never forgets," said Browder, CEO of Hermitage Capital Management and formerly the largest foreign investor in Russia before he was expelled from the country.

"Prigozhin basically betrayed him. He was disloyal. He organized a rebellion," he added.
 
Mara nyingi humu watu wana ushabiki wa vijiweni. Huwa hatufikirii nje ya box kwa kuhusisha hata matukio ya nyuma.
Huyu Prighozin siyo boys kama wengi wanavyotaka kuamini unaweza kumuuwa kizembe kama hivi.

Tukumbuke uchaguzi wa Marekani inaosemekana uliingiliwa na Urusi na Trump kuwa mshindi huyo jamaa Prighozin anahusika.

Halafu ukiwa Marekani ukitaka kufanya mafekeche ambayo yanasoma mpaka kwenye mifumo ya Marekani basi software hizo zinamilikiwa na Warusi.

Mfano madereva wa maroli wana masaa ya kuendesha maroli yao lazima upaki upumzike, lakini ukitaka kutobowa over masaa ni Warusi ndio wanaochakachuwa system hiyo.

Let's say kwa Tanzania Warusi wangekuwa na uwezo wa kuwalipisha wenye mabasi na maroli wakipita Mizani mzigo usome uzito wa chini.

Sasa hapa ndio tunapaswa kujuwa ndani ya Marekani Warusi wanafanya yao mbele ya FBI.

Sasa kwangu ni kituko kwa Prighozin kuuwawa kizembe namna hiyo.
 
Putin atakuwa amefanya huo mchezo, huyo jamaa hakuwa serious kwenye ulinzi wake binafsi, alijiachia sana ikawa rahisi kwake kushambuliwa kama kweli itathibitika kufariki kwake.
 
Huyu Prighozin siyo boys kama wengi wanavyotaka kuamini unaweza kumuuwa kizembe kama hivi.

Tukumbuke uchaguzi wa Marekani inaosemekana uliingiliwa na Urusi na Trump kuwa mshindi huyo jamaa Prighozin anahusika.

Halafu ukiwa Marekani ukitaka kufanya mafekeche ambayo yanasoma mpaka kwenye mifumo ya Marekani basi software hizo zinamilikiwa na Warusi.

Mfano madereva wa maroli wana masaa ya kuendesha maroli yao lazima upaki upumzike, lakini ukitaka kutobowa over masaa ni Warusi ndio wanaochakachuwa system hiyo.

Let's say kwa Tanzania Warusi wangekuwa na uwezo wa kuwalipisha wenye mabasi na maroli wakipita Mizani mzigo usome uzito wa chini.

Sasa hapa ndio tunapaswa kujuwa ndani ya Marekani Warusi wanafanya yao mbele ya FBI.

Sasa kwangu ni kituko kwa Prighozin kuuwawa kizembe namna hiyo.
Mmoja wa waanzilishi wa google ni mrusi.

Wale wanaojiita Jews family. Hao ni warusi. Fuatilia matajiri wengi marekani wana element za jews.
 
Back
Top Bottom