Baadhi ya waandishi wa habari kutoka west Africa wanareport ya kwamba Kuna watu wanadaiwa kumuona Prigozhin nchini Mali jana.
Pia kuna habari kwamba Yevgeny Prigozhin, na makamanda wake wakuu walikuwa kwenye ndege ya pili na wanatarajiwa kufika Niger August 25 na wapiganaji 250 wa Wagner.
Kulingana na taarifa zao ,hii ndiyo sababu hakuna hata neno moja katika vyombo vya habari vya Kirusi kuhusu ndege ya pili na abiria wake.
Ikumbukwe Bado hadi sasa hakuna official report yeyote iliyotoka kuthibitisha kifo chake ingawa Kuna viashiria vya uwepo wake kwenye ndege iliyopata ajali.
=====
Prigozhin's second plane flew to AzerbaijanThe flight to Baku was planned a few days ago, even before the plane crash in the Tver region.It is not known who exactly is on the plane.
View attachment 2727948