Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila White magic utoboi uwanja wa vita.Jamaa atakuwa jini
Putin hakumtaja moja kwa moja ujue. Msikilize mwenyeweBado haimaanishi chochote mkuu ikizingatiwa hakuna report ya kiuchunguzi iliyotoka pia kwenye hio video Putin amtumia kauli " if they were there, According to initial information... Wagner employees were on board " ni ishara kwamba Bado haijathibitishwa ,yes it's rumors but they turn out to be true sometimes.
Kingine prigozhin ni Mtu mwenye tahadhari sana na alijulikana kwa kujiandikisha kwa ndege moja na kupanda nyingine .
Tungoje report ya uchunguzi itoke.
Wigs boy.Masta minder hawawezi safiri kizembe tu kama mzigo.
Wanakuwa na ID na passport kibao plus maplastic Sergey kibao.
Wanaboard ndege hata tatu kwa wakati mmoja.
Hawaendi na exactly time anaweza akabook kesho akaondoka Leo,au booking Leo anaondoka juzi kwa kustukiza
Yupo MaliKama kweli yupo hai, basi ni mpango mkakati wa yeye mwenyewe na putin, ila kama sivyo, basi putin kazi anayi
Kadead huyo.Yupo Mali
Unalienzi jambazi,eti alipigania uhuru wa Africa. Wakati analipwa mamilion ya dola na anachukua madini bureee.Mzuka Wanajamvi.
Serikali na bunge litangaze msiba kwa kuweka bendera nusu mlingoti kuomboleza kifo cha boss wa Wagner Yevgeny Prigozhin.
Prigozhin aliipigania sana Africa dhidi ya mabeberu lazima tumuenzi.
View attachment 2728195
Umegoogle ndio umekuja kujibu jana. Huna tofauti na NGOFA inayokunya huku imelala.NICOLA ZIGIC ni mwanasoka wa zamani wa Serbia, zamani ikiwa ni Yugoslavia. Huyu mchezaji alikuwa na uwezo wa kucheza mpira kama mshambuliaji wa kati. Jitahidi ujue na ufahamu watu wa dunia hii. Na wewe nikikuuliza Juma Nkhangaa au Sebastian Kinyondo walikuwa ni kina nani nchi hii utanijibu kweli au utabaki kung'aa macho tu?
Ni kwamba Marakeni na Urusi hufanya kazi pomoja khasa kwenye masuala kama ya mabomu ya nyuklia, mitambo ya satelite kule angani na masuala mengine mengi tu ya kijasusi na kisayansi.Endelea braza
eti nime google! Hivi kama kitu nakijua kuna ulazima wa ku google? Jibu utalipata tu, we ndio hukuwa on wakati nakujibuUmegoogle ndio umekuja kujibu jana. Huna tofauti na NGOFA inayokunya huku imelala.
Sawaeti nime google! Hivi kama kitu nakijua kuna ulazima wa ku google? Jibu utalipata tu, we ndio hukuwa on wakati nakujibu
Inashangaza hata yeye hakumfahamu vyema Putin namna anavyowafanya mahasimu wake pamoja na kuwa karibu naye miaka mingi.Chef-in-chief to Putin turned rebel-in-chief against him is no more.
Since his aborted mutiny in June, Prigozhin was already dead but walking! Putin won't forgive anyone he calls a traitor - never!