Yevgeny Prigozhin, Boss wa Wagner Group ahofiwa kufariki kwenye ajali ya ndege!

Acha kuota mkuu prigo kashatangulia hizo speculation na conspiracy theory hazitamrudisha hai
 
Mkuu nimesikiliza DW Swahili juzi asubuhi chombo cha India hakikufanikiwa
 
Mkuu nimesikiliza DW Swahili juzi asubuhi chombo cha India hakikufanikiwa
Labda hukuelewa uzuri kiswahili ni Russia ndo chombo chao hakikufanikiwa na chombo cha India kilitua salama salmini.

Na mshauri wa raisi Putin wa masuala ya anga aitwae Mikhail Marov baada ya chombo hicho kugonga pembeni ya mwezi badala ya kutua kama kawaida hivi sasa yupo hosppitali akipata matibabu baada ya kupatwa na mshtuko wa moyo.

Chombo cha India cha Chandrayaan -3 Rover kilitua salama siku ya jumatatu sehemu ya kusini mwa mwezi na hadi leo chombo hicho chazunguka mwezi kwa utaratibu bila tatizo.
 
Alijisahau sana kwa Putin ambaye hasahau na wala hajui kusamehe.
 
Swali ninalojiuliza....Je,Marekani ilijua kama tukio hili lingetokea!!!!! Maana wiki iliyopita ilihimiza raia wake waondoke Belarus haraka Sana then wiki hii limetokea hili.[emoji848]

Sent from my Mi 9T using JamiiForums mobile app
Mkuu pamoja na uhasama uliopo machoni mwetu baina ya hizi nchi mbili lakini haya mataifa hubadilishana confidential and intelligence reports.
Tena vizuri tuu.
 
Hajui huyo muache. Watu wengi hawapendi maarifa Wala kujishughulisha kusoma. Wanapenda ubishi na makelele tuu.
 
Hawa kufa lilikuwa suala la muda tu. Hakuna nchi wanauana ovyo kama Russia, tena kinyama na kwa kutumia sumu ambazo hazina ta antidotes. Unatajirishwa au unaingizwa kwenye siasa huku walakini wa maisha yako ukiwa hatiani, na ukikataa vile vile unakuwa hati hati kifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…