TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

Jamani Yona Maro mbona umejiua wakati tuko sie akina Loeli uaminifu tunao? Ungekuja hapa JF utafute serious partner. Alaaniwe mwanamke mzinzi ndani ya ndoa na mwanaume ANAYEKUPENDA. Nimeumia mno.
Ww ungempa penzi murua?!

Yona nilikuwa namfahamu vzr sn hakuwa mtu wa wanawake i cn understand kwann hata huyo mke kampelekesha namna hiyo jamaa alikuwa mtu muoga muoga hivi
 
haahaha hongera sana ! hv mwanamke kumpanda kichwan mwanamume huwa mnamaanisha nn? yaan mie huwa nafikiria kuwa wazo la baba akilisema ndo bora !i mean hamtaki tuwape challenges zozote zile !hampendwi kupewa changamoto au ni nn??? nakutana sana na hayo maneno !hv huwa mnamaanisha nn mwanamke kukupanda kichwan!nataman nijue
 
Kuna tatizo hapa jamii yetu inamfanya mwanaume avumilie kila aina ya abuse... Kuna kipindi MTU anakuwa anahitaji msaada ila anaonekana kama mzembe fulani kisa mwanaume.
Kweli kabisa. Inasikitisha sana.
 
watu wapole, wastaarabu huwa ndo vifo vyao, wanahisi wamedharaulika sana na aibu kwa jamii ivyo kifo ndo huwa ni suluhisho. wapuuzi sana

kuna mzee alijiua et kisa mtoto wake mkubwa kashikwa ugoni nae kama yohana mpole, mwelewa sana.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Dah hvi mke akichepuka si na wewe uchepuke tu,all in all may his sour rest in heavenly peace
 
Jamani wacha nionekane mjinga kwa kuoa darasa la saba mwenzangu jamani hawa wanawake waliosoma wenye elimu zao nawaogopa sana kuwatumia katika jambo kubwa sana kama ndoa
Ukizaa mabinti usisomesheee!
Waishie CHEKECHEA!
Kkk zitawatosha!
 
hahahaa watu wa pwani ni kwel weng wamechana!haya mambo bwana
Kuna group nilikuwa la wanandoa nilikuwa nacheka jamani. Kuna mama yeye ndio kungwi sasa, full kufunda wenzie. Mie nilijua ana ndoa bwana nikawa namuona boonge la wife nikajisemea nikikua nitakua kama yeye[emoji85] [emoji85] Siku ya siku anazungumzia kuwa alishaachika mara mbili, sababu sasa oooh mwanaume alikuwa muhuni na bla bla zingine. Nikawaza si ndio huwa anasema hata mume awe muhuni vipi kumtuliza fanya 1,2,3..... kumbe yeye yalimshinda!!!

Haya mambo bwana mie nasemaga kama biko tu. Yaani uokote embe lako chini ya mnazi baasi, mengine porojo tu.
 
Kuna ndoa imefungwa mwaka jana mwezi wa 11 sasa hivi ndoa chaliiii. Yaani hizi ndoa zetu za siku hizi Mungu aingilie kati.
 
mie haitokaa nijiue !weee maisha yalivyo matamu hv! ni kuondoka tu yakikuzid
Si mpaka sasa uwe na huo moyo mamangu. Ukiukosa ndio kama haya yanatokea. Wengine huwa wanasubiri wauawe kabisa
 


hahahaa makungwi wengi san wameachika !ila ukimsikiliza sasa unajihis wewe unamkosea sana mumeo lol
 
Nipo busy acha kabisa,yaani week end ikifika ninachoka mbaya,at least leo nimepata nafasi ya kuandika.Huo mjadala hata sijausoma kabisa.Nitausoma baadae.
Uingie kwenye thread ya majaribu 2013 uone watu walivyomwaga upupu. Mwenzio Nifah utaona picha zake live watu wametupia. Ila uzi wenyewe umepigwa kalamu hivyo hutaruhusiwa ku comment. Wewe ingia kwenye profile ya huyo jamaa usome thread yake ya jana akimjibu ONTARIO
 
jaman Lossy umesababisha kifo


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…