Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Hahahaaa!! Unanifanya nicheke msibani miss jamani. Kwakweli alikuwa na option nyingi ila yeye kachagua hiyo ndio kaona the best kwake.Kafa kwa ujinga wake bwana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa!! Unanifanya nicheke msibani miss jamani. Kwakweli alikuwa na option nyingi ila yeye kachagua hiyo ndio kaona the best kwake.Kafa kwa ujinga wake bwana
Ww ungempa penzi murua?!Jamani Yona Maro mbona umejiua wakati tuko sie akina Loeli uaminifu tunao? Ungekuja hapa JF utafute serious partner. Alaaniwe mwanamke mzinzi ndani ya ndoa na mwanaume ANAYEKUPENDA. Nimeumia mno.
Mimi sijiui hata iweje.mie haitokaa nijiue !weee maisha yalivyo matamu hv! ni kuondoka tu yakikuzid
haahaha hongera sana ! hv mwanamke kumpanda kichwan mwanamume huwa mnamaanisha nn? yaan mie huwa nafikiria kuwa wazo la baba akilisema ndo bora !i mean hamtaki tuwape challenges zozote zile !hampendwi kupewa changamoto au ni nn??? nakutana sana na hayo maneno !hv huwa mnamaanisha nn mwanamke kukupanda kichwan!nataman nijueHaya mambo hasikie tu. Binafsi nimeyakataa muda mrefu sana,mwanamke kuniendesha au kunipanda kichwani. Mwanamke kama umempenda na ukampeleka kanisani au msikitini then akaanza kuzingua kwa namna yoyote ile,mrekebishe kwa upendo mkuu ila kama habadiliki piga chini.
Haina haya yakuwaumiza watu wakupendao toka asili yako-baba na mama yako na wadogo zako kisa lipumbavu limoja ulilokutana nalo ukubwani tu.
Binafsi najua situations kama hizi kwakuwa nilishaoa ila pale mke alipojihisi anaweza kunikunja,kunifokea fokea,kununa,kunijibu madharau-nilisharudisha kwao huko migombani.
Nalea wanangu mwenyewe,naishi kwa amani. Watoto wangu ni faraja kwakweli.
R.I.P brother,mwanamke sio baba yako.
Neverhahahaa yakikufika hapaaaa ! ila dah !anywys tusiseme sana!
ina maana hujasoma chanzo cha kujiua? dah !kweli trump hajakosea
Kweli kabisa. Inasikitisha sana.Kuna tatizo hapa jamii yetu inamfanya mwanaume avumilie kila aina ya abuse... Kuna kipindi MTU anakuwa anahitaji msaada ila anaonekana kama mzembe fulani kisa mwanaume.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]watu wapole, wastaarabu huwa ndo vifo vyao, wanahisi wamedharaulika sana na aibu kwa jamii ivyo kifo ndo huwa ni suluhisho. wapuuzi sana
kuna mzee alijiua et kisa mtoto wake mkubwa kashikwa ugoni nae kama yohana mpole, mwelewa sana.
Ukizaa mabinti usisomesheee!Jamani wacha nionekane mjinga kwa kuoa darasa la saba mwenzangu jamani hawa wanawake waliosoma wenye elimu zao nawaogopa sana kuwatumia katika jambo kubwa sana kama ndoa
Ukizaa mabinti uaisomesheee!
Waishie CHEKECHEA!
Kkk zitawatisha!
Kuna group nilikuwa la wanandoa nilikuwa nacheka jamani. Kuna mama yeye ndio kungwi sasa, full kufunda wenzie. Mie nilijua ana ndoa bwana nikawa namuona boonge la wife nikajisemea nikikua nitakua kama yeye[emoji85] [emoji85] Siku ya siku anazungumzia kuwa alishaachika mara mbili, sababu sasa oooh mwanaume alikuwa muhuni na bla bla zingine. Nikawaza si ndio huwa anasema hata mume awe muhuni vipi kumtuliza fanya 1,2,3..... kumbe yeye yalimshinda!!!hahahaa watu wa pwani ni kwel weng wamechana!haya mambo bwana
Kuna ndoa imefungwa mwaka jana mwezi wa 11 sasa hivi ndoa chaliiii. Yaani hizi ndoa zetu za siku hizi Mungu aingilie kati.Haya mambo hasikie tu. Binafsi nimeyakataa muda mrefu sana,mwanamke kuniendesha au kunipanda kichwani. Mwanamke kama umempenda na ukampeleka kanisani au msikitini then akaanza kuzingua kwa namna yoyote ile,mrekebishe kwa upendo mkuu ila kama habadiliki piga chini.
Haina haya yakuwaumiza watu wakupendao toka asili yako-baba na mama yako na wadogo zako kisa lipumbavu limoja ulilokutana nalo ukubwani tu.
Binafsi najua situations kama hizi kwakuwa nilishaoa ila pale mke alipojihisi anaweza kunikunja,kunifokea fokea,kununa,kunijibu madharau-nilisharudisha kwao huko migombani.
Nalea wanangu mwenyewe,naishi kwa amani. Watoto wangu ni faraja kwakweli.
R.I.P brother,mwanamke sio baba yako.
Si mpaka sasa uwe na huo moyo mamangu. Ukiukosa ndio kama haya yanatokea. Wengine huwa wanasubiri wauawe kabisamie haitokaa nijiue !weee maisha yalivyo matamu hv! ni kuondoka tu yakikuzid
Mtaani darasa saba alipigwa sururu na boss akajiua!Wewe omba tu upate mke mwema mkuu,jirani yangu alojiua mkewe ni darasa la saba B kabisa.
Kuna group nilikuwa la wanandoa nilikuwa nacheka jamani. Kuna mama yeye ndio kungwi sasa, full kufunda wenzie. Mie nilijua ana ndoa bwana nikawa namuona boonge la wife nikajisemea nikikua nitakua kama yeye[emoji85] [emoji85] Siku ya siku anazungumzia kuwa alishaachika mara mbili, sababu sasa oooh mwanaume alikuwa muhuni na bla bla zingine. Nikawaza si ndio huwa anasema hata mume awe muhuni vipi kumtuliza fanya 1,2,3..... kumbe yeye yalimshinda!!!
Haya mambo bwana mie nasemaga kama biko tu. Yaani uokote embe lako chini ya mnazi baasi, mengine porojo tu.
Uingie kwenye thread ya majaribu 2013 uone watu walivyomwaga upupu. Mwenzio Nifah utaona picha zake live watu wametupia. Ila uzi wenyewe umepigwa kalamu hivyo hutaruhusiwa ku comment. Wewe ingia kwenye profile ya huyo jamaa usome thread yake ya jana akimjibu ONTARIONipo busy acha kabisa,yaani week end ikifika ninachoka mbaya,at least leo nimepata nafasi ya kuandika.Huo mjadala hata sijausoma kabisa.Nitausoma baadae.
Kuna taarifa kuwa Yona Fares Maro ambaye ni mwanaJF na muasisi wa Wanabidii, Google Group amefariki dunia jana tarehe 12 January 2018 baada ya kunywa sumu.
View attachment 674668
Uamuzi wa kunywa sumu ulitokana na ugomvi baina yake na mke wake nyumbani kwao Mbeya.
Mazishi yatafanyika Jumatatu tarehe 15 Januari Kijijini kwao Mowo, Old Moshi - Kilimanjaro.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa Jina Lake lihimidiwe.
Natoa pole kwa familia, ndugu na jamaa wa karibu wa marehemu
Chanzo ni ukurasa wa Facebook wa dada yake na Yona: Janet Fares Maro
Huu ndio ujumbe aliouacha marehemeu nyuma ya kifo chake
Nimekuwa kwenye matatizo ya ndoa kwa miaka 4, kila wiki nikipambana na mke mlevi na mzinzi.
Tukio la jana usiku na leo asubuhi limenisononesha na kunitia simanzi kubwa. Nimekata tamaa ya kila kitu na kila jambo nangoja mapenzi ya Mungu tu. Nalazimika kutumia dawa za usingizi lakini wapi.
Sasa nipumzike nimwache mke wangu Eng Mloelya na mchepuko wake Eng Lossy wa Idara ya Maji Mbeya waendelee!