Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
ChaiMwigulu kufukuzwa inakuja
Nchimbi nyumba yake kuzingirwa
Report ya Samia kusema wapinzani wameshirikiana na Nchimbi kufanya maandamano nayo nilisema na nyuzi zimo,
Mwisho kabisa nimeuliza swali kimkakati je yaweza hapo mbeleni Rais akaumwa akasema ninakaa pembeni ??
Nimekaa kimya week kadhaa yanayoendelea si Mazuri kabisa
Britanicca
Na si kuna tetesi ana stroku
Kikwete ameshakufa kama ulivyowaaminisha wafuasi wako?!!!Mwigulu kufukuzwa inakuja
Nchimbi nyumba yake kuzingirwa
Report ya Samia kusema wapinzani wameshirikiana na Nchimbi kufanya maandamano nayo nilisema na nyuzi zimo,
Mwisho kabisa nimeuliza swali kimkakati je yaweza hapo mbeleni Rais akaumwa akasema ninakaa pembeni ??
Nimekaa kimya week kadhaa yanayoendelea si Mazuri kabisa
Britanicca
Acha uongoKuna Uzi humu niliwahi kuandika "endapo TL atahukumiwa kwa namna yoyote Samia atapigwa stroke mbaya sana". Na Leo narudia kusema Hilo.....
tatizo lake wewe unaandika mafumbo mwishowe hayo mafumbo hugeuka ngonjera, lakini Mange yeye ananyoka kama rura na humwaga mchele hadharani kwa hiyo inakuwa rahisi kupembua kati ya mchele na pumba, punguza mafumbo bana.Mwigulu kufukuzwa inakuja
Nchimbi nyumba yake kuzingirwa
Report ya Samia kusema wapinzani wameshirikiana na Nchimbi kufanya maandamano nayo nilisema na nyuzi zimo,
Mwisho kabisa nimeuliza swali kimkakati je yaweza hapo mbeleni Rais akaumwa akasema ninakaa pembeni ??
Nimekaa kimya week kadhaa yanayoendelea si Mazuri kabisa
Britanicca
OyaaaEehh nakaa hapa! Sinyanyuki niuweni 🪑
Tena ya MbilimbiChai
Kwani aliyepo sasa amechaguliwa na wananchi?Kikatiba unaweza kuongozwa na Makamu wa Rais na kua Rais ambae hajawai kuomba kura kwa wananchi? Wazee wa katiba mfano Ndijembi kua Rais wakati hajawai kuchaguliwa na wananchi?
Shoga atakuwa huyo usiwe wewe?Mwanaume kuja na story za mangi ni dalili za ushoga
USSR
Yani inasikitisha sanaWatanzania SISI ndio watu wajinga zaidi kuwah tokea duniani wallah,
Hawa wanaharakati, waliamimisha watu waandamane jeshi lipo matokeao yake watu wakafa wao wanaishi, watu hawashtuki.
Sasa hivi bado tu wanaendelea kuleta TAARIFA ambazo badae huonekana si za kweli ni uongo lakini bado watu wanawasikiliza na kuwatii, nyimwa vyote si akili ya utambuzi.
Leo tena mtu anapangwa bado ana amini tena, eeh mungu naliombea taifa langu si wasomi si wasioe wasomi kwa tanzania ni ngumu sana kumtambua wakisimama pamoja, Yani tumekua sijui ni ma nini tu, inasikitisha sana
ok 🐒Mwigulu kufukuzwa inakuja
Nchimbi nyumba yake kuzingirwa
Report ya Samia kusema wapinzani wameshirikiana na Nchimbi kufanya maandamano nayo nilisema na nyuzi zimo,
Mwisho kabisa nimeuliza swali kimkakati je yaweza hapo mbeleni Rais akaumwa akasema ninakaa pembeni ??
Nimekaa kimya week kadhaa yanayoendelea si Mazuri kabisa
Britanicca
anakua rais bila shida yeyote ile, kwakua itakua ni makamu wa rais anarithi kiti cha rais,Kikatiba unaweza kuongozwa na Makamu wa Rais na kua Rais ambae hajawai kuomba kura kwa wananchi? Wazee wa katiba mfano Ndijembi kua Rais wakati hajawai kuchaguliwa na wananchi?