Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,757
Kolo koloUtopolo
Kila la kheri Timu ya Wananchi.All The Best Young Africans [emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2262003
Ubingwaaaa!Wananchiiiiiiiiiiiiiii!!!
Ila jamaa hana kabisa kinyongo, wala wivu kwa kutokuwa sehemu ya mwananchi kwasasaSaid Ntibazonkiza [emoji91]View attachment 2262013
Yanga bingwaAll The Best Young Africans [emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2262003
Kiroho Safi Mwana.Ila jamaa hana kabisa kinyongo, wala wivu kwa kutokuwa sehemu ya mwananchi kwasasa
Mfumo wa timu zetu za Simba na Yanga ni kama Madrid na Barca, ni timu za wananchi na sio timu za mtu binafsi hivyo ni lazima ziwe na Rais.Ooh!! Basi nikawa kama sielewi hivi.
Afadhali kama ndio sehemu ya hayo mabadiliko na tunaombea yawe ni yenye kheri kwa Klabu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mashabiki wa Yanga furaha mliyonayo leo, simna ilikua nayo misimu 4 ilopita
Haya m relaaaax na mu enjoyyy. Hurrrayyyyyyyyyyyy!!!!!!
Wee dogo ni utopolooo kumbe? Khaaaaah.[emoji172][emoji169]
Wee dogo ni utopolooo kumbe? Khaaaaah.