Hahahaaa. Huyu jamaa hatoisahau yanga. ππSaid Ntibazonkiza [emoji91]View attachment 2262013
Ooh! Nilikuwa sijaielewa hii Mkuu.Mfumo wa timu zetu za Simba na Yanga ni kama Madrid na Barca, ni timu za wananchi na sio timu za mtu binafsi hivyo ni lazima ziwe na Rais.
Aisee! Baada ya kupata lile bao la kwanza Coastal ndo akapotea kabisa kwa dkk kadhaa.Hii Yanga ya sasa kama Barca ya pep mwanangu.
Pole Mtani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mashabiki wa Yanga furaha mliyonayo leo, simna ilikua nayo misimu 4 ilopita
Haya m relaaaax na mu enjoyyy. Hurrrayyyyyyyyyyyy!!!!!!
Hatimaye. LolWeeeeweeeeeh!!!!
Inabidi tukalalamike aisee. ππHii ni Manchester city sio yanga gsm aache kutuzingua.
Maana tulikubaliana yanga inakata moto kipindi cha pili
ππKwamba sisi makolo ndio tukabebe matofali pale bunju ama?
Shukran Mtani ππ π€Hongereni watani. Well deserved ππ½ππ½ππ½
Umeonaee!! πLigi ya mwaka huu tofauti na miaka mingine, ya mwaka huu ina vibe la ulaya.
π πAfu unakuta shabiki ni kolo fc na ulaya ni nyumbu looh..unaweza hisi una laana ya telezaa wa chuga...Mungu akupe nn huku yanga afu ulaya liverpool..kama eng hersi...bata tuu
πππ€£Upande wa Magazeti tumeamka namna hii. ππ
View attachment 2262362