Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaa. Huyu jamaa hatoisahau yanga. 😀😀Said Ntibazonkiza [emoji91]View attachment 2262013
Sema nini na yeye ni sehemu ya huu ubingwa wetu pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa. Huyu jamaa hatoisahau yanga. 😀😀Said Ntibazonkiza [emoji91]View attachment 2262013
Ooh! Nilikuwa sijaielewa hii Mkuu.Mfumo wa timu zetu za Simba na Yanga ni kama Madrid na Barca, ni timu za wananchi na sio timu za mtu binafsi hivyo ni lazima ziwe na Rais.
Aisee! Baada ya kupata lile bao la kwanza Coastal ndo akapotea kabisa kwa dkk kadhaa.Hii Yanga ya sasa kama Barca ya pep mwanangu.
Pole Mtani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mashabiki wa Yanga furaha mliyonayo leo, simna ilikua nayo misimu 4 ilopita
Haya m relaaaax na mu enjoyyy. Hurrrayyyyyyyyyyyy!!!!!!
Hatimaye. LolWeeeeweeeeeh!!!!
Inabidi tukalalamike aisee. 😂😂Hii ni Manchester city sio yanga gsm aache kutuzingua.
Maana tulikubaliana yanga inakata moto kipindi cha pili
😂😂Kwamba sisi makolo ndio tukabebe matofali pale bunju ama?
Shukran Mtani 🙏🙏 🤝Hongereni watani. Well deserved 👏🏽👏🏽👏🏽
Umeonaee!! 😀Ligi ya mwaka huu tofauti na miaka mingine, ya mwaka huu ina vibe la ulaya.
😅😅Afu unakuta shabiki ni kolo fc na ulaya ni nyumbu looh..unaweza hisi una laana ya telezaa wa chuga...Mungu akupe nn huku yanga afu ulaya liverpool..kama eng hersi...bata tuu
😀😀🤣Upande wa Magazeti tumeamka namna hii. 😂😂
View attachment 2262362