Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hivi Djuma Shaban, kwanini viongozi hawakumletea msaidizi? Kwenye kukaba ana shida ila kwenye kupeleka mashambulizi yupo fresh sana
Kibwana Shomari Anarudi Upande Wake Kama Backup..ila Nae Kibwana Kukaba Yuko Vizuri Lakini Kwenye Kushambulia Hana Makali Hasa Mipira Yake Ya Krosi Huwa Haipigi Vizuri...Yani Mabeki Wa Pembeni Mara Nyingi Kati Ya Kuzuia Na Kushambulia Wanakuwaga Na Kimoja Wapo Wanachofanya Vizuri Zaidi Kuzidi Kingine... Kumpata Beki Wa Pembeni Anayekupa Vyote Hivo Kwa Ubora Wa Hali Ya Juu Sio Rahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…