The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Kosi kama kosi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kosi kama kosi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtateseka sana,
😂😂MakoloWizardinhoz uzi wao wanaona kaa la moto wanakuja kushinda kwenye kijiwe cha Yanga ,uzi umepoa views na comments chache kama uzi wa Taifa stars 😂😂😆😆View attachment 2291277
Hata Oprah Ni Wa Kawaida Tu..Na Nyie Msiwe Malimbukeni [emoji4]Acheni ulimbukeni basi,huyu ni mchezaji wa kawaida tu
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Kosi La Mauaji [emoji91][emoji169][emoji172]Kosi kama kosi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2291272
Kajisemea Shadeeya Wakamuongelee Hata Kyombo Basi Kwenye Uzi Wao [emoji38]MakoloWizardinhoz uzi wao wanaona kaa la moto wanakuja kushinda kwenye kijiwe cha Yanga ,uzi umepoa views na comments chache kama uzi wa Taifa stars [emoji23][emoji23][emoji38][emoji38]View attachment 2291277
Kibwana Shomari Anarudi Upande Wake Kama Backup..ila Nae Kibwana Kukaba Yuko Vizuri Lakini Kwenye Kushambulia Hana Makali Hasa Mipira Yake Ya Krosi Huwa Haipigi Vizuri...Yani Mabeki Wa Pembeni Mara Nyingi Kati Ya Kuzuia Na Kushambulia Wanakuwaga Na Kimoja Wapo Wanachofanya Vizuri Zaidi Kuzidi Kingine... Kumpata Beki Wa Pembeni Anayekupa Vyote Hivo Kwa Ubora Wa Hali Ya Juu Sio Rahisi.Hivi Djuma Shaban, kwanini viongozi hawakumletea msaidizi? Kwenye kukaba ana shida ila kwenye kupeleka mashambulizi yupo fresh sana
Mpuuzi Tu...Sijui Linajiskiaje Huko [emoji23]Mwehu huyo. [emoji57]
Atanyanyasika sana [emoji23] na bado [emoji23]
Matokeo Yake ile Mechi Ya FA Mwanza Hawajatuambia Mpk Leo Tuliwapa Bahasha Ya Kaki Yenye Kiasi Gani Ndani [emoji23][emoji23]Walikuwa na jina lao mashuhuri eti bahasha ya kakhi. [emoji23][emoji23][emoji23]
Kiswahili kimenyooka.Naona rafiki yako katoa kauli huku.
View attachment 2287001
Kolo hawezi kuandika hivyo.Alisikika kolo mmoja. [emoji23][emoji23][emoji23]
Makolo wakilima miwa kule Misri.Wananchi wakiitafuta dumila kuelekea pre season Moro View attachment 2293050
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Duuuuh mtibwa sugar ya EgyptMakolo wakilima miwa kule Misri.View attachment 2293382
Na wewe ulitaka asiandikiwe. TehKiswahili kimenyooka.
Chakuandikiwa hiki.