The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Yanga ndiyo timu ya kwanza ya Tz kucheza klabu bingwa Afrika ilifanya hivyo mwaka 1968, na pia ndiyo klabu ya kwanza ya Tz kuingia robo fainali ya klabu bingwa Afrika ilifanya hivyo mwaka 1998. Sikulaumu kijana mana mpira umeanza kuufuatilia kipindi betting zimeanza so mambo mengi kuhusu soka huyajui wewe bado mtoto mdogo.Nasikia hamjawahi fika robo fainali klabu bingwa toka dunia iumbwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Habari yenu tunayo uto mmeenda kisirisiri kuomba muingizwe super league na sifa hamna[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mmetolewa nje
Porini huwa wanatumia majani au nyasi au hata nawe "kujinawisha"Katika timu 8 zilizofuzu Robo Fainali ya kombe la Shirikisho la Afrika msimu huu, timu 5 kati ya hizo zilifeli ligi ya mabingwa Afrika
UTO
Rivers United
Monastir
Malumo Gallants
Asec Mimosas
Yaani kwenye mashindano yetu wakubwa hawa walionekana vilaza wakashushwa chini
Kwa mfano timu ingekua ikitolewa Champions League hashiriki tena mashindano ya CAF basi hizo timu tano sasa hivi zingekua zinapambana Ramadhan Cup
Kama sijakosea kwenye game na Mazembe walisema ana matatizo ya Kifamilia huenda bado yanaendelea.Hivi wakuu, kocha Nabi ana changamoto gani?
Alikuwa anashughulikia passport yake.Kama sijakosea kwenye game na Mazembe walisema ana matatizo ya Kifamilia huenda bado yanaendelea.
Ooh! Ahsante Shem.Alikuwa anashughulikia passport yake.
Hakuna kombe tutaliacha mpk 2030.Kila la kheri Timu ya Wananchi. Kombe tunalihitaji kwa mara ingine.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Sidhani kama ana changamoto kubwa. Nadhani ana ruhusa maalum. Yupo kwao Ubeleji.Hivi wakuu, kocha Nabi ana changamoto gani?
Hakika! Nakazia Mkuu.Hakuna kombe tutaliacha mpk 2030.
Nilishangaa hukuweka matokeo jana.Haya ndo matokeo yetu jana
View attachment 2581887
Pira hekahekaHaya ndo matokeo yetu jana
View attachment 2581887
Nipo sana, kuku wako manati yanini .Nitakusubiri hapahapa , maana huchelewi kuzima data[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28] ikifika hiyo tarehe hata hutaonekana tena.
Ila nitakutag. [emoji2957]
Kwa hapa Africa mashariki na kati hakuna timu ya kuifunga Yanga kwa sasa.Pira hekaheka
Pira misukosuko
Pira kande
Pira bahasha waheed
Pira mang'amung'amu