The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Yanga ndiyo timu ya kwanza ya Tz kucheza klabu bingwa Afrika ilifanya hivyo mwaka 1968, na pia ndiyo klabu ya kwanza ya Tz kuingia robo fainali ya klabu bingwa Afrika ilifanya hivyo mwaka 1998. Sikulaumu kijana mana mpira umeanza kuufuatilia kipindi betting zimeanza so mambo mengi kuhusu soka huyajui wewe bado mtoto mdogo.Nasikia hamjawahi fika robo fainali klabu bingwa toka dunia iumbwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]