Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Nasikia hamjawahi fika robo fainali klabu bingwa toka dunia iumbwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yanga ndiyo timu ya kwanza ya Tz kucheza klabu bingwa Afrika ilifanya hivyo mwaka 1968, na pia ndiyo klabu ya kwanza ya Tz kuingia robo fainali ya klabu bingwa Afrika ilifanya hivyo mwaka 1998. Sikulaumu kijana mana mpira umeanza kuufuatilia kipindi betting zimeanza so mambo mengi kuhusu soka huyajui wewe bado mtoto mdogo.
Screenshot_20230408-161905.jpg
Screenshot_20230408-161941.jpg
 
Katika timu 8 zilizofuzu Robo Fainali ya kombe la Shirikisho la Afrika msimu huu, timu 5 kati ya hizo zilifeli ligi ya mabingwa Afrika

UTO
Rivers United
Monastir
Malumo Gallants
Asec Mimosas

Yaani kwenye mashindano yetu wakubwa hawa walionekana vilaza wakashushwa chini

Kwa mfano timu ingekua ikitolewa Champions League hashiriki tena mashindano ya CAF basi hizo timu tano sasa hivi zingekua zinapambana Ramadhan Cup
 
Porini huwa wanatumia majani au nyasi au hata nawe "kujinawisha"
 
Back
Top Bottom