Hahahaa. Kabisa Mkuu tusitembee mmoja mmoja. 😅Najua mambo na majukumu ni mengi sana kwa Kila mmoja humu. Hivyo naomba nitumie nafasi hii kujitolea kuwakumbusha kwamba Yanga ndio Mabingwa Ngao ya jamii na ligi kuu ya NBC mwaka 2023. Na wanasubiri kucheza fainali ya ASFC na CCC pia. Mashabiki Wa Yanga tuwe makini ktk kipindi hiki, tuepuke kutembea mmoja mmoja!
Wananchiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiii iiiiiiiiiiiii [emoji172][emoji169]
Jamani wanachiiiiiiiiiiiiiiiiiii wenzangu naombeni Kura yenu kwenye Uzi wangu wa stories of change...
Like na komenti yako ni muhimu sana...
SoC03 - Usimamizi Bora wa Sekta ya Michezo unavoweza kupunguza Tatizo la Ajira nchini
Michezo ni ajira! Lakini ni ukweli usio na shaka kua hatuna dira maalumu inayoweza kukuza sekta hii. Badala yake kumekua na siasa na mipango ya zimamoto badala ya maandalizi ya muda mrefu yanayoweza kuboresha kiwanda hiki cha michezo. Hii imepelekea michezo mbalimbali kama vile riadha, kuogelea...www.jamiiforums.com
Tuzidi kuiombea Yanga Kule south ifanye poa dhidi ya Marumo Gallants....
Wengi leo tumelala kimawenge aisee. 🤣🤣🤣Mungu Yu pamoja Nas!View attachment 2637577
Si wengine miaka nenda rudi tunatumia Chrome Mkuu.Picha kwenye app yangu ya Jf hazifunguki cjui tatizo ni nn
Naam naamini pengo la Aucho ktk michezo yote miwili litazibwa vema na tutachukua medali ya dhahabuHatimaye ile siku tuliyokuwa tunaisubiria kwa hamu imewadia.
Sikioni cha kutuziwia kutokufanya vizuri katika mchezo wa leo hapo 16:00hrs.
"Why not us"
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Mie yangu kitambo saana Mkuu.SoC03 - Usimamizi Bora wa Sekta ya Michezo unavoweza kupunguza Tatizo la Ajira nchini
Michezo ni ajira! Lakini ni ukweli usio na shaka kua hatuna dira maalumu inayoweza kukuza sekta hii. Badala yake kumekua na siasa na mipango ya zimamoto badala ya maandalizi ya muda mrefu yanayoweza kuboresha kiwanda hiki cha michezo. Hii imepelekea michezo mbalimbali kama vile riadha, kuogelea...www.jamiiforums.com
Wananchiiiiiiiiiiiiiiiii [emoji172][emoji169] msisahau kunipigia Kura kwenye shindano la stories of change
Hakika Mkuu.Naam naamini pengo la Aucho ktk michezo yote miwili litazibwa vema na tutachukua medali ya dhahabu
Naam Naam! Tena na hivi uwanja utajaa Hadi kumwagika itawapa motisha sanaHakika Mkuu.
Kikubwa Wachezaji wajitoe kama walivyofanya katika mechi zote zilizopita huko nyuma.