Nmeota goli 7Leo 23/12/2023 tunakipiga na Tabora United hii ndo game yetu ya mwisho mwaka huu Kwa upande wa NBC PREMIER LEAGUE...
Hii timu ni mpya kwenye na hatujawahi kucheza nayo by the way ni timu inayopitia misukosuko mingi ya kufungiwa kusajili wachezaji kutokana na madeni mengi kutokana na kuvunja kiholela mikataba na wachezaji wao wa zamani....
Leo tunahitaji ushindi mkubwa kama zawadi ya Xmas lakini pia kujiweka kwenye position nzuri ya kutetea ubingwa wetu...
Natamani kumuona Clement Mzize akipewa nafasi na Gamondi I hope he gonna perform well...
All the best wananchiiiiiiiiiiiiiiiii [emoji91]View attachment 2850364
Naam Tupo nafasi ya pili tukiwa na point zetu 30 na michezo 11 point moja nyuma ya Kinara Azam FC yenye Point 31 na michezo 13....Kama kawaida Timu ya Wananchi tumejiimarisha kileleni.
View attachment 2851071
leo hatuchezi babu..?Naam Tupo nafasi ya pili tukiwa na point zetu 30 na michezo 11 point moja nyuma ya Kinara Azam FC yenye Point 31 na michezo 13....
Hapo ukiangalia Kwa wastani ni kama kila game tulipata point 2.7 ambayo ni approximately to point 3.! Bila kusahau jumla kumefunga magoli 31 na tukiruhusu 6 Tu... Gamondi ana balaa nyie na hapo anadai bado hajaipata Ile Yanga anayoitaka [emoji28]
Ukimuangalia mpinzani wetu Azam FC yeye Kwa wastani amevuna pointi 2.3 Kwa kila game...
Msimu huu Azam ni wa Moto kwenye upande wa kupachika magoli kwani ndie kinara akiwa na Goli 35 huku yeye karuhusu bao 10....
Anyway kila goti litapigwa za ndaaaaaaaani kabisa kuna Forward moja huyo anakuja dirisha hili dogo ana balaa
Wapinzani wetu watakua wanakuja na huku wamefunga vitambaa vyeusi maana itakua ni msiba kila mechi [emoji2]
Hapana NBC PREMIER LEAGUE league itarudi baada ya michuano ya AFCON kuisha so simply itakua na mwezi wa pili....leo hatuchezi babu..?
Hapana NBC PREMIER LEAGUE league itarudi baada ya michuano ya AFCON kuisha so simply itakua na mwezi wa pili....
Mkuu kukazia ako kaparagraph ka mwisho ni kuwa wajiandae kulia kila game. πNaam Tupo nafasi ya pili tukiwa na point zetu 30 na michezo 11 point moja nyuma ya Kinara Azam FC yenye Point 31 na michezo 13....
Hapo ukiangalia Kwa wastani ni kama kila game tulipata point 2.7 ambayo ni approximately to point 3.! Bila kusahau jumla kumefunga magoli 31 na tukiruhusu 6 Tu... Gamondi ana balaa nyie na hapo anadai bado hajaipata Ile Yanga anayoitaka [emoji28]
Ukimuangalia mpinzani wetu Azam FC yeye Kwa wastani amevuna pointi 2.3 Kwa kila game...
Msimu huu Azam ni wa Moto kwenye upande wa kupachika magoli kwani ndie kinara akiwa na Goli 35 huku yeye karuhusu bao 10....
Anyway kila goti litapigwa za ndaaaaaaaani kabisa kuna Forward moja huyo anakuja dirisha hili dogo ana balaa
Wapinzani wetu watakua wanakuja na huku wamefunga vitambaa vyeusi maana itakua ni msiba kila mechi [emoji2]
Tifuatifua na bodi wamevilea viporo kwa kuahirisha mechi ambazo timu zingecheza, mfano ya Mikia FC vs Azam Nov 28.Hapana NBC PREMIER LEAGUE league itarudi baada ya michuano ya AFCON kuisha so simply itakua na mwezi wa pili....
Yap lakini haitaizuia Yanga kua bingwa... Maana Azam na Kolo watakua wanauana Sisi tunasonga mbeleTifuatifua na bodi wamevilea viporo kwa kuahirisha mechi ambazo timu zingecheza, mfano ya Mikia FC vs Azam Nov 28.
Jaribu njia hii. Gusa hayo maandishi chini ya picha, itaingia kivuli. Juu kulia kutatokea vidoto vitatu, gusa hivyo vidoto. Chagua kwa kugusa open in browser.Jaman mm Kuna shida sizioni picha zinazotupiwa humu
Nifanye Nini kuziona
Anaanzia sub shemela.Wapi Skudu. π
View attachment 2859982
Wapi Skudu. π
View attachment 2859982
πππ hawashindwi wale.Hilo pozi 5imba wataiga