Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kwa eneo lote la mbele mchezaji tishio ni Pacome.
 
Pamba za wananchi ziko mtaani tayari. Kazi kwetu kupendeza tu sasa🫢
 

Attachments

  • IMG-20241014-WA0067.jpg
    53.9 KB · Views: 4
Kazi kwetu
 

Attachments

  • IMG-20241014-WA0068.jpg
    43.4 KB · Views: 4
  • IMG-20241014-WA0070.jpg
    43.6 KB · Views: 4
  • IMG-20241014-WA0066.jpg
    62.8 KB · Views: 4
Sisi tunauhitaji huo ushindi kuliko nyie wakamaria mnavozitaka hizo pesa....πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Safi mfanye kweli mwanawana yaani mkishindwa kumfunga thimba dah sijui kama ihefu mtamfunga 🀣🀣🀣🀣
 
Ihefu ni moja ya timu chache sana Africa zinazotutoa kamasi. Tunawaweka kundi moja na Al Ahly, Mamelodi, n.k. Usilinganishe kabisa Ihefu na Koloz
Uzuri wee u amubali ukweli wa mambo.
Haya nimewapa ushindi na goli mbili juu msiniangushe jame i ajira zenyewe magumashi tumejiajiri kwenye betting
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…