Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Yah!! Kwa uchezaji ule Molinga game na Simba haiwezi kabisa.

Hata na mie sishauri kuanzishwa mana anaeza kila akigusa mpira ashanyang'anywa.
 
Ujue hata na mie jana nilibaki kushangaa tu. Pia wachezaji hawana juhudi za kuhitaji matokeo.

Na ilisaidia alipoingia Tshishimbi na yule Mapinduzi angalau tukawa na uhai kidogo.

Sa sijui shida iko wapi kwa wachezaji? [emoji848][emoji848]
Daa kuhusu kucheza hovyo Mimi naamini ni uwezo Mdogo Wa benchi la ufundi ktk kufundisha, maana siamini timu yenye wachezaji kama Mo banka, makame,Feisal, balama, tshishimbi, kaseke,sibomana, ngasa n.k kama inaweza kushindwa kucheza mpira Wa kuvutia. Baada ya usajili Wa Kiakala na Nchimbi kukamilika Molinga inabidi aanze rasmi kutokea kwenye benchi
 
Basi wafanyage mchakato wa kocha mpya mana mbali na mechi ya Simba na Yanga tunahitajika kufanya vizuri zaidi ili kujihakikishia nafasi ya kutwaa ubingwa wa TPL.
 
Daaa yaani kama Nchimbi angekuwepo ingekuwa safi sana mana hata huyo molinga ingewezekana hata kwenye benchi asinhewekwa tu
Kabisaaa!!! Kama jana kuna muda alinikera eti anakokota mpira ndani ya boksi huku hata akiwa haangalii wapi anaelekea mwisho anaanguka watu wanachukua mpira wanasepa. Aiseee.

Molinga na mazuri yake ila pengi anaharibu.
 
Basi wafanyage mchakato wa kocha mpya mana mbali na mechi ya Simba na Yanga tunahitajika kufanya vizuri zaidi ili kujihakikishia nafasi ya kutwaa ubingwa wa TPL.
Kabisa unajua focus kubwa inapaswa kuwa ktk mechi zote na si simba pekee kwa sababu tunapaswa kuchukua ubingwa na hatuwezi kuchukua ubingwa kwa kuipania simba pekee ambayo nayo inatoa point tatu kama zilivyo timu zingine.
 
Hakika Mkuu. Sababu kama wale biashara jana haikuwa timu ya kutisha

Japo tulishinda ila kwa biashara ila haikupaswa iwe goli la tabu namna ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…