Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hivi na Yondani yuko wapi eti Mkuu?Vyovyote itavyokuwa muhimu zaidi tarehe 4 awepo na awe fit 100%
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi na Yondani yuko wapi eti Mkuu?Vyovyote itavyokuwa muhimu zaidi tarehe 4 awepo na awe fit 100%
Uliyapata Mtani hayo matokeo au nikupatie? 😎😎Matokeo vp
Uliyapata Mtani hayo matokeo au nikupatie? [emoji41][emoji41]
😅😅😅😅 Ntakwita Kaka ake.
Yah!! Kwa uchezaji ule Molinga game na Simba haiwezi kabisa.Huyu Tarik Seif anaonekana kabisa ni mshambuliaji. Ana kitu cha kutusaidia bila shaka siku za usoni. Akija kucheza na Nchimbi, Sibomana upande wa kushoto, upande wa kulia awekwe Balama, Ngasa au Kaseke, Tshishimbi, Fei Toto na Makame katikati, pale nyuma Adeyuni, Yondani, Moro na Juma Abdul/Boxer!
Hakika hiyo tarehe 04 January, ushindi ni lazima. Molinga aanzie benchi ikibidi. Hongereni Yanga kwa ushindi ingawa kipindi cha kwanza mlicheza "Kimasihara sana" Muwe mnajifunza kwa wenzenu Simba, huwa hawalembi wanapopewa nafasi ya kucheza na mwalimi wao.
Kumbe ameshakuwa mali yetu.Na yule mtu ivory coast tumemsaini Leo asee sijui uwezo wake hasa ila ana umbo zuri sana.View attachment 1307626
Wale wanaweweseka tu. Labda wajuzi waje watuelezee kwa marefu mchezaji anapoenda kucheza timu kwa mkopo anakuwa ni mali ya nani?Unamaanisha striker Nchimbi hatocheze Young Africans Sports Club "The Citizen Team" hadi msimu ujao? Kalaga baho!
Daa kuhusu kucheza hovyo Mimi naamini ni uwezo Mdogo Wa benchi la ufundi ktk kufundisha, maana siamini timu yenye wachezaji kama Mo banka, makame,Feisal, balama, tshishimbi, kaseke,sibomana, ngasa n.k kama inaweza kushindwa kucheza mpira Wa kuvutia. Baada ya usajili Wa Kiakala na Nchimbi kukamilika Molinga inabidi aanze rasmi kutokea kwenye benchiUjue hata na mie jana nilibaki kushangaa tu. Pia wachezaji hawana juhudi za kuhitaji matokeo.
Na ilisaidia alipoingia Tshishimbi na yule Mapinduzi angalau tukawa na uhai kidogo.
Sa sijui shida iko wapi kwa wachezaji? [emoji848][emoji848]
Kelvin kiukweli haijulikani mana uongozi hautoi mrejesho aliko na hawasemi kama ni majeruhi sasa sijui ni nini kimetokea,na wanasema hakuna mchezaji hata mmoja anayedai malipoHivi na Yondani yuko wapi eti Mkuu?
Daaa yaani kama Nchimbi angekuwepo ingekuwa safi sana mana hata huyo molinga ingewezekana hata kwenye benchi asinhewekwa tuYah!! Kwa uchezaji ule Molinga game na Simba haiwezi kabisa.
Hata na mie sishauri kuanzishwa mana anaeza kila akigusa mpira ashanyang'anywa.
Basi wafanyage mchakato wa kocha mpya mana mbali na mechi ya Simba na Yanga tunahitajika kufanya vizuri zaidi ili kujihakikishia nafasi ya kutwaa ubingwa wa TPL.Daa kuhusu kucheza hovyo Mimi naamini ni uwezo Mdogo Wa benchi la ufundi ktk kufundisha, maana siamini timu yenye wachezaji kama Mo banka, makame,Feisal, balama, tshishimbi, kaseke,sibomana, ngasa n.k kama inaweza kushindwa kucheza mpira Wa kuvutia. Baada ya usajili Wa Kiakala na Nchimbi kukamilika Molinga inabidi aanze rasmi kutokea kwenye benchi
Eeeh asee katia miaka miwili. Naamini atakuwa poa kuliko molinga. Na kwa dalili hizi naiona exit door ya molingaKumbe ameshakuwa mali yetu.
Ila angalau pale mbele pachangamke mana ilikuwa mtihani.
Itakuwa majeruhi labda.Kelvin kiukweli haijulikani mana uongozi hautoi mrejesho aliko na hawasemi kama ni majeruhi sasa sijui ni nini kimetokea,na wanasema hakuna mchezaji hata mmoja anayedai malipo
Kabisaaa!!! Kama jana kuna muda alinikera eti anakokota mpira ndani ya boksi huku hata akiwa haangalii wapi anaelekea mwisho anaanguka watu wanachukua mpira wanasepa. Aiseee.Daaa yaani kama Nchimbi angekuwepo ingekuwa safi sana mana hata huyo molinga ingewezekana hata kwenye benchi asinhewekwa tu
Afadhali lakini, mana mbele tulipwaya sana. Na kikubwa mipira yake iwe na macho tu ili yasiwe kama yale ya Sadney. Mana nafasi alikuwa anapata ila shabaha sasa.Eeeh asee katia miaka miwili. Naamini atakuwa poa kuliko molinga. Na kwa dalili hizi naiona exit door ya molinga
SahihiKabisaaa!!! Kama jana kuna muda alinikera eti anakokota mpira ndani ya boksi huku hata akiwa haangalii wapi anaelekea mwisho anaanguka watu wanachukua mpira wanasepa. Aiseee.
Molinga na mazuri yake ila pengi anaharibu.
Kabisa unajua focus kubwa inapaswa kuwa ktk mechi zote na si simba pekee kwa sababu tunapaswa kuchukua ubingwa na hatuwezi kuchukua ubingwa kwa kuipania simba pekee ambayo nayo inatoa point tatu kama zilivyo timu zingine.Basi wafanyage mchakato wa kocha mpya mana mbali na mechi ya Simba na Yanga tunahitajika kufanya vizuri zaidi ili kujihakikishia nafasi ya kutwaa ubingwa wa TPL.
Hakika Mkuu. Sababu kama wale biashara jana haikuwa timu ya kutishaKabisa unajua focus kubwa inapaswa kuwa ktk mechi zote na si simba pekee kwa sababu tunapaswa kuchukua ubingwa na hatuwezi kuchukua ubingwa kwa kuipania simba pekee ambayo nayo inatoa point tatu kama zilivyo timu zingine.
Alipewa ruhusa mazoezi kaanza Jana jmos atakuepo uwanjani.at least beki ya kushoto kumeanza kukaa sawa sasa hivi .Itakuwa majeruhi labda.