Ndio vizuri Mtani mana mlikuwa mnasema sana. ππImebak siku moja[emoji16]
Ameshafika Mkuu.Uongozi yanga wakati mwingine unashusha hadhi ya timu. Hivi haruna hadi sasa hajafika na ndo mchezaji ambae wanataka wamtegemee jumamosi na yeye ndo abebe show nzima. Walisema angefika Jana na Leo wanadai atafika Leo. Yaani wanaifanya yanga kama ndanda kwamba mchezaji anaweza akasajiliwa na akaingia kwenye kikosi moja kwa moja hata bila ya kufanya mazoezi na wenzake
Ngoja tuone hiyo chemistry kama itapatikana fasta,mana ni jioni hii na Kesho tu
Kama usemavyo tusibiri tuone MkuuNgoja tuone hiyo chemistry kama itapatikana fasta,mana ni jioni hii na Kesho tu