Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Nyota njema huonekana asubuhi, and vice versa is true.

Unakubali hii methali?
Duuh! Hivyo na wewe Mtani wataka kusema kwa ile mechi moja basi kocha wetu hafai kisha hajaanza na nyota njema? Uko siriazzz kweli Mtani?

Hizo methani kwa baadhi ya vitu zinakuwa sahihi kabisa ila kwa vitu vingine hapana kwa kweli Mtani hasa kama hiki tunachokiongelea Hapa.
 
Mimi nimekuuliza kama unawakubalia wahenga au unawakataa.

Binafsi kwa ussue yenu naona ni sawa kabisa huo msemo, ila kwingine tutajadili mazingira ya issue husika.
 
Mimi nimekuuliza kama unawakubalia wahenga au unawakataa.

Binafsi kwa ussue yenu naona ni sawa kabisa huo msemo, ila kwingine tutajadili mazingira ya issue husika.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Hebu tuache habari za wahenga Mtani.

Duuh!! Hivyo na wewe uko upande wa hao jamaa wa kijiweni Mtani. πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…