Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Au
Au uhame timu labda?(in Josevarist's voice)Nshapoa Ses. Ndio mpira huo.π
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au uhame timu labda?(in Josevarist's voice)Nshapoa Ses. Ndio mpira huo.π
πππ Wajua kabisa lilishashindikana hilo Ses.Au
Au uhame timu labda?(in Josevarist's voice)
Sasa utaendelea kuumia hadi lini mamii? Hebu jiunge na timu itakayokupa raha ndani roho kuanzia ligi ya nyumbani hadi kimataifa, wee chelewachelewa tu, tushauri yakoπππππππ Wajua kabisa lilishashindikana hilo Ses.
Nimeipokea Mtani. Uko mzima?
ππππSasa utaendelea kuumia hadi lini mamii? Hebu jiunge na timu itakayokupa raha ndani roho kuanzia ligi ya nyumbani hadi kimataifa, wee chelewachelewa tu, tushauri yakoππππ
Ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu kama uko poa Mtani.Mimi sijambo.
Mtani nasikia huyu kocha mpya kavunja record, ni kweli?
Si kweli bana Mtani. Ile imeshamshitua na kujua kwamba ligi ha Tanzania sio ya mchezo mchezo hivyo nadhani mechi zijazo atafanya marekebisho alipokosea.
Ni kweli Mtani. Ila ndio hamna jinsi tena zaidi ya kuganga yajayo.Nimesikia kuwa hamjawahi kufungwa 3 bila na timu za nje ya Dar.
Ndo huyu kocha ameleta mambo haya.
Ni kweli Mtani. Ila ndio hamna jinsi tena zaidi ya kuganga yajayo.
Usisahau kipimo cha kocha si mechi moja Mtani hivyo bado nafasi anayo.
Hahahaaaa. Lol.Tunamtaka Mkwasa. Huyu ametudhalilisha.
Hahahaaaa. Lol.
Utatuweza baadhi ya Watanzania Mtani. Yaani huwa hatukosi vya kuongea.Kuna kijiwe nilikaa jana eti wanasema Mkwasa karoga ili ionekane kocha wetu mpya hajui kazi.
Utatuweza baadhi ya Watanzania Mtani. Yaani huwa hatukosi vya kuongea.
Hamna kitu kama hicho nadhani tu yule Kocha kaanza na gundu.Nilicheka jana nikasema nitakuja kwa Mtani anipe msimamo.
Hamna kitu kama hicho nadhani tu yule Kocha kaanza na gundu.
Sababu hata huyo Mkwasa si mzuri kiviile.
Duuh! Hivyo na wewe Mtani wataka kusema kwa ile mechi moja basi kocha wetu hafai kisha hajaanza na nyota njema? Uko siriazzz kweli Mtani?Nyota njema huonekana asubuhi, and vice versa is true.
Unakubali hii methali?
Duuh! Hivyo na wewe Mtani wataka kusema kwa ile mechi moja basi kocha wetu hafai kisha hajaanza na nyota njema? Uko siriazzz kweli Mtani?
Hizo methani kwa baadhi ya vitu zinakuwa sahihi kabisa ila kwa vitu vingine hapana kwa kweli Mtani hasa kama hiki tunachokiongelea Hapa.
ππππ Hebu tuache habari za wahenga Mtani.Mimi nimekuuliza kama unawakubalia wahenga au unawakataa.
Binafsi kwa ussue yenu naona ni sawa kabisa huo msemo, ila kwingine tutajadili mazingira ya issue husika.
ππππ Hebu tuache habari za wahenga Mtani.
Duuh!! Hivyo na wewe uko upande wa hao jamaa wa kijiweni Mtani. π€π€π€