Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

naona hiki kikundi cha wahuni na wavuta bangi kilichojiingiza kwenye mpra mmeamua kutulia tuu.
 
Hahahaaaa!! Hata sijui Mtani.

Mimi Yanga niliipenda mwenyewe Mtani.
Kuna ushauri hua nakupa kila siku sijui kwanini hutaki kuufata Shadeeya!!!

Kuna msemo wa wahenga wa kizungu unasema, na tafsiri yake ni hii "Kama huwezi kupambana nao/kuwashinda basi jiunge nao"

Sina ushauri mpya kwa leo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hahahaaa. Hebu huko. πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…