Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Ila viongozi wa hizi timu wanajua sana kuwafariji washabiki. Eti kabisa mnaaminishwa bado mna nafasi ya ubingwa!
 
Tutake radhi Shadeeya, unasema sisi ni wazee wa miamala, hivi soka linalopigwa utadhani unaangalia La Liga ya Spain hulioni? Halafu Papaa wa watu mtamlaumu bure kabisa kwani wakati huo mlikua na wachezaji wa kucheza hizo nafasi?cbn
 
Unadhani ndio nyie ni wazee wa miamala na kwa mlivyotuacha mbali yaani mtahonga sana watu IST mwaka huu ilimradi tu mupate ubingwa.
 
Na ushambuliaji ndio timu. Hata mtembee juu ya mpira kama forward ni butu, hakuna wamaliziaji wenye kujua nyavu zilipo sare kama za harusi zitawahusu tu kila siku, cmb
Anakuumiza sana huyo mpanda mpira. Pole ila kiuhalisia jamaa ni Fundi japo ulichoongea ktk kiwango Fulani ni sahihi[emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…