Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Nimekubali Mtani kwani hata Papaa alituvuruga kweli naye hasa kwenye ule usajili ambao mwishowe ulikuwa mbovu hasaa. Issa Bigirimana, Juma Balinya na wengineo.
Kuna sehemu nimeona Mkwasa anasema bado tuna nafasi ya kuwa mabingwa lakini mi naona anatufariji tu kwani nyie wazee wa Miamala lazima mutafanya yenu na hasa ukiangalia kuna gap kubwa la point mpaka sasa kati ya sisi na nyie.
Ila viongozi wa hizi timu wanajua sana kuwafariji washabiki. Eti kabisa mnaaminishwa bado mna nafasi ya ubingwa!