Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mpira wa Tanzania bwana hao Viongozi wanaopiga kelele hawana hata uwezo wa kufanya chochote.

Haya GSM kawaachia Uwanja tuone watafanya nini. 😔😔😔
 
Kama kawaida yangu nimechukua muda wa kutosha kabisa kuisoma barua ya GSM hasa kwenye maneno ya kumalizia, yaani kaulimbiu yenu
 
Mpira wa Tanzania bwana hao Viongozi wanaopiga kelele hawana hata uwezo wa kufanya chochote.

Haya GSM kawaachia Uwanja tuone watafanya nini. 😔😔😔
Poleni sana. Na hata sisi tungeendekeza maneno ya Mzee Kilomoni tungekua kama Chura FC sasa hivi. Binadamu wengine wameumbwa kuvuruga tu, ujuaji mwingiii mbele giza
 
👇👇👇🤔🤔🤔🤔🤔 KAZI IPO MWAKA HUU.

INASEMEKANA GSM ANAACHANA NA YANGA KWASABABU YA WAJUMBE HAWA.

Wajumbe watatu wa Kamati ya Utendaji
1. Rodgers Gumbo
2. Richard Shija
3. Salum Rupia
Walikuja na ajenda kwenye kikao cha Kamati ya utendaji kuwa Kampuni ya GSM inafanya usajiri bila kuitaarifu Kamati ya Utendaji. Wajumbe wengi ne walibisha sana juu ya jambo hili na kusema kuwa GSM kafanya hili kwa kuitetea Yanga je kosa lipo wapi. Kamapuni ya GSM iliandikiwa barua isijihusishe na usajiri.

GSM imeandika barua tarehe 24.03.2020 kwenda Yanga na haitajihusisha tena na Mambo ambayo ni nje ya mkataba wa Jezi. Imeachana na mshahara wa Kocha na benchi lote la ufundi.
 
Poleni sana. Na hata sisi tungeendekeza maneno ya Mzee Kilomoni tungekua kama Chura FC sasa hivi. Binadamu wengine wameumbwa kuvuruga tu, ujuaji mwingiii mbele giza
Na inasemekana baada ya yule mzee Akilimali kuvuta wameibuka wengine tena na mmoja wao ni yule wa jana.
 
Na inasemekana baada ya yule mzee Akilimali kuvuta wameibuka wengine tena na mmoja wao ni yule wa jana.
Taarifa zilizotangazwa leo na clouds TV kwenye kipindi chao cha 360 ni kwamba kapteni wetu Papy kashamalizana na mikia,na wameahidi kesho kwenye kipindi hicho hicho kuleta uthibitisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soka la Tanzania ni mwendo wa kuharibiana tu hivyo kama wanawachukua wawachukue tu mwishowe wawapeleke huko Simba "B". 😀
 
Taarifa zilizotangazwa leo na clouds TV kwenye kipindi chao cha 360 ni kwamba kapteni wetu Papy kashamalizana na mikia,na wameahidi kesho kwenye kipindi hicho hicho kuleta uthibitisho

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila hapa wala sijafurahia Simba kumchukua Shishimbi. Wanazidi kurundika viungo wakati tatizo la Simba kwa sasa ni washambuliaji na beki wa kati

Ni mwendo uleule wa kuingiza uswahili na ushabiki kwenye vitu vya kiufundi. Hapa nia ni kutaka kuibomoa Yanga nje ya uwanja.

Hata kama wana matatizo yao tuwaache wamalize wenyewe na sio kuchangia kuidhoofisha. Kama kupambana tupambane dimbani na Yanga iliyokamilika
 
Hao ndio Wabongo Shadeeya. Roho wana ujuaji mwingi sana. Na wengine sio watu wa shukrani. Lolote utakalo wafanyia wanachukulia poa tu
Hakika usemalo.

Na GSM huyo kaamua kufanya yaliyo ndani ya mkataba tuone wao watafanya nini.
 
Ni mwendo wa kukomoana tu. Hujaona Ajibu mlichomfanyia?
 
Dr.Mshindo Msolwa na wenzako hapo Jangwani, mimi kama mwanachama kindakindaki wa yanga ntakuja hapo Ofisin na wanachama wenzangu wenye hoja kama zangu

Nataka mnijibu hoja yangu...
Kama mda wote GSM analipa mishahara, usafiri, viwanja, usajili na malazi ya timu...Je pesa za viingilio za wadhamini nk....zinaenda wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viongozi walikuwa wanatia shaka za waziwazi. Yani watu wanafanya kazi hadi za kujitolea tena kwenye masuala ya pesa viongozi wanachukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…