Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Dr.Mshindo Msolwa na wenzako hapo Jangwani, mimi kama mwanachama kindakindaki wa yanga ntakuja hapo Ofisin na wanachama wenzangu wenye hoja kama zangu

Nataka mnijibu hoja yangu...
Kama mda wote GSM analipa mishahara, usafiri, viwanja, usajili na malazi ya timu...Je pesa za viingilio za wadhamini nk....zinaenda wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi watupe majibu ya kueleweka kwa kweli.
 
Huo ndio uswahili ninaosema. Kipaji cha Ajibu tunakifubaza. Hua najiuliza ilikuaje wakati ule akaachia offer ya TP Mazembe!? Watu wengine wanasema ni uvivu wake wa mazoezi
Atajiju sababu siku zote wanasema isiyemfaa akili yake utamdhuru ujinga wake.
 
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] KAZI IPO MWAKA HUU.


INASEMEKANA GSM ANAACHANA NA YANGA KWASABABU YA WAJUMBE HAWA.


Wajumbe watatu wa Kamati ya Utendaji
1. Rodgers Gumbo
2. Richard Shija
3. Salum Rupia
Walikuja na ajenda kwenye kikao cha Kamati ya utendaji kuwa Kampuni ya GSM inafanya usajiri bila kuitaarifu Kamati ya Utendaji. Wajumbe wengi ne walibisha sana juu ya jambo hili na kusema kuwa GSM kafanya hili kwa kuitetea Yanga je kosa lipo wapi. Kamapuni ya GSM iliandikiwa barua isijihusishe na usajiri.

GSM imeandika barua tarehe 24.03.2020 kwenda Yanga na haitajihusisha tena na Mambo ambayo ni nje ya mkataba wa Jezi. Imeachana na mshahara wa Kocha na benchi lote la ufundi.
Hizo takataka sasa zilipe zenyewe. Hapo hadi Mwenyekiti nae ni mshenzi tu mana hayo yote yanapata Baraka zake
 
Viongozi walikuwa wanatia shaka za waziwazi. Yani watu wanafanya kazi hadi za kujitolea tena kwenye masuala ya pesa viongozi wanachukia
Ndio ujue wanaojiingiza kwenye soka wengi wako kimaslahi. Na akili zao zote walijua GSM anapiga pesa.

Ila Uongozi ujitathimi hasa huyu Msola hasa haya Makamati anayoyaundaga na watu anaowaweka humo.
 
Mi naamini litakwisha tena soon ila lazima gharama kubwa iwepo hasa kwa kufukuzwa viongozi wote wenye mawazo mgando.
 
Hizo takataka sasa zilipe zenyewe. Hapo hadi Mwenyekiti nae ni mshenzi tu mana hayo yote yanapata Baraka zake
Yaani Msola ndio Kichefu chefu

Nakumbuka kauli ya yule jamaa wa Utopolo alishawahi kusema viongozi wajitathmini tukichoka kuongea kwa mdomo ipo siku tutaongea kwa ngummi. 😎😎 Na huko ndio tunaelekea.
 
Yaani Msola ndio Kichefu chefu

Nakumbuka kauli ya yule jamaa wa Utopolo alishawahi kusema viongozi wajitathmini tukichoka kuongea kwa mdomo ipo siku tutaongea kwa ngummi. [emoji41][emoji41] Na huko ndio tunaelekea.
Ha ha ha na kuna watu washasema sana kuwa msola anatuhujumu mana ni Mwana simba kiasilia ila nilikuwa siamini lakini kwa hili naanza kupata shaka ktk hayo
 
Back
Top Bottom