Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Inabidi watupe majibu ya kueleweka kwa kweli.Dr.Mshindo Msolwa na wenzako hapo Jangwani, mimi kama mwanachama kindakindaki wa yanga ntakuja hapo Ofisin na wanachama wenzangu wenye hoja kama zangu
Nataka mnijibu hoja yangu...
Kama mda wote GSM analipa mishahara, usafiri, viwanja, usajili na malazi ya timu...Je pesa za viingilio za wadhamini nk....zinaenda wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app