Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kawaida yangu nimechukua muda wa kutosha kabisa kuisoma barua ya GSM hasa kwenye maneno ya kumalizia, yaani kaulimbiu yenuBARUA YA GSM KWENDA YANGA.
MWENYEKITI,
YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB,
P.O.BOX 15202,
DAR ES SALAAM.
Ndugu. YAH:MKATABA WA YOUNG AFRICANS SPORTA CLUB NA GSM TANZANIA LIMITED.
Husika na kichwa cha habari hapo juu. Kwa heshima na taadhima nachukua fursa hii kuushukuru uongozi mzima wa Klabu yetu ya YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB "YANGA" TIMU YA WANANCHI kwa ushirika wenu kwenye mambo kadha wa kadha kwenye kuirudishia heshima na kutatua changamoto nyingi zilizokua zinaikabili Klabu yetu.
Ikumbukwe kuwa changamoto nyingi ziliikumba na kuendelea kuikabili timu yetu na sisi tulijitahidi kuzitatua ingawa hazikua sehemu ya mkataba wetu.
NAZO NI
1.Kumrudisha LAMINE baada ya kutukatiza mkataba wake.
2.Kusajili wachezaji katika kuiongezea nguvu klabu yetu. I.Bernad Morisson. II.Ditram Nchimbi III.Haruna Niyonzima IV.Adeyum Saleh
3.Kuwaleta na kulipa gharama zote za KOCHA MKUU,KOCHA WA MAZOEZI NA VIUNGO (FITNESS COACH na PHYSIO)gharama hizo ni pamoja na mishahara, nusafiri wa ndani,nyumba na ticket za kwenda na kurudi makwao(BELGIUM & SOUTH AFRICA). 4.Kulipa Mishahara.
5.Kulipa Bonas za ushindi ktk mechi zote timu iliposhinda kuanzia Mwezi Desemba 2019.Pamoja na ahadi kubwa ya ushindi kwa mechi dhidi ya watani wa jadi na kuitekeleza
baada ya ushindi huo.
5.Kulipa gharama zote za CAMP/HOTEL kwa timu kuanzia mwezi Desemba 2019.
6.Tiketi za ndege kwa wachezaji na viongozi.
7.Kulipa na kugharamia uwanja wa mazoezi kwa ukamilifu wake.Hii ni pamoja na ukarabati wa uwanja na ununuzi wa vifaa vya mazoezi.
8.Kulipa baadhi ya madeni ya nyuma ya usajili wa wachezaji. Aidha,yote hayo yamekua yakifanyika kwa MAPENZI MEMA kwa klabu yetu bila kujali gharama nyingi na kubwa tunazolipa.
Pia,Katika kuelekea mabadiliko ya kiundeshaji wa Klabu,GSM ilitafuta wataalam( CONSALTANT)kuja kushauri na kusaidia mabadiliko ya kimfumo pamoja na kupata TIMU kubwa barani ULAYA itakayokuja kuwa ni TIMU RAFIKI katika kukuza maendeleo ya idara zote katika Klabu yetu CONSULTANT huyo yuko tayari na TIMU hiyo pia iko tayari kuja kuanza ushirikiano kwa Gharama za GSM.
Lakini,kumekua na malalamiko mengi sana kutoka kwa baadhi ya viongozi kuwa GSM imekua na ikiingilia majukumu yao na wao ndiyo wenye mamlaka hayo waliyokabidhiwa na WANACHAMA. Kwa masikitiko makubwa kauli hizi pia zimekua zikitekelezwa kwa vitendo
Usimamizi wetu umekua tu kwa yale tunayogharamia na kamwe hatukuwahi kutaka kujua mapato wala matumizi ya chanzo chochote cha Yanga.
Ikumbukwe pia,GSM imejitolea kwa hali na mali katika kuleta YANGA yenye maendeleo yake binafsi kupitia wanachama na KAMWE GSM haina nia ya KUPOKA MADARAKA WALA TIMU kutoka kwa mtu yeyote. YANGA NI WANANCHI NA ITABAKI KUWA YA WANANCHI
Kwa barua hi I,GSM itabaki kuwa mdhamini wa Yanga kimkataba na kutekeleza yale TU yaliyo Kwenye mkataba na kuachana na yote yaliyo nje ya mkataba.
Aidha,kwa niaba ya GSM tunaomba radhi kwa yoyote aliyekwazika na ushirika wetu katika kuijenga Klabu yetu na tuliyafanya hayo kwa mapenzi mema tu.
Tunawatakia kila la heri katika mapambano na tutaendelea kuwa sehemu ya mabingwa wa kihistoria.
DAIMA MBELE NYUMA MWIKO
FOR GSM GROUP OF COMPANIES
Poleni sana. Na hata sisi tungeendekeza maneno ya Mzee Kilomoni tungekua kama Chura FC sasa hivi. Binadamu wengine wameumbwa kuvuruga tu, ujuaji mwingiii mbele gizaMpira wa Tanzania bwana hao Viongozi wanaopiga kelele hawana hata uwezo wa kufanya chochote.
Haya GSM kawaachia Uwanja tuone watafanya nini. 😔😔😔
Ila kuna watu wachawi sana aisee. Haya kazi kwao sasa wafanye huo usajili tuone.Kama kawaida yangu nimechukua muda wa kutosha kabisa kuisoma barua ya GSM hasa kwenye maneno ya kumalizia, yaani kaulimbiu yenu
Na inasemekana baada ya yule mzee Akilimali kuvuta wameibuka wengine tena na mmoja wao ni yule wa jana.Poleni sana. Na hata sisi tungeendekeza maneno ya Mzee Kilomoni tungekua kama Chura FC sasa hivi. Binadamu wengine wameumbwa kuvuruga tu, ujuaji mwingiii mbele giza
Taarifa zilizotangazwa leo na clouds TV kwenye kipindi chao cha 360 ni kwamba kapteni wetu Papy kashamalizana na mikia,na wameahidi kesho kwenye kipindi hicho hicho kuleta uthibitishoNa inasemekana baada ya yule mzee Akilimali kuvuta wameibuka wengine tena na mmoja wao ni yule wa jana.
Mpira ndio kazi yake yule kama kaahidiwa donge nono huko ende tu watakuja wengine.Taarifa zilizotangazwa leo na clouds TV kwenye kipindi chao cha 360 ni kwamba kapteni wetu Papy kashamalizana na mikia,na wameahidi kesho kwenye kipindi hicho hicho kuleta uthibitisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Soka la Tanzania ni mwendo wa kuharibiana tu hivyo kama wanawachukua wawachukue tu mwishowe wawapeleke huko Simba "B". 😀Taarifa zilizotangazwa leo na clouds TV kwenye kipindi chao cha 360 ni kwamba kapteni wetu Papy kashamalizana na mikia,na wameahidi kesho kwenye kipindi hicho hicho kuleta uthibitisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ndio Wabongo Shadeeya. Roho wana ujuaji mwingi sana. Na wengine sio watu wa shukrani. Lolote utakalo wafanyia wanachukulia poa tuIla kuna watu wachawi sana aisee. Haya kazi kwao sasa wafanye huo usajili tuone.
Watu wa ajabu sana aiseeNa inasemekana baada ya yule mzee Akilimali kuvuta wameibuka wengine tena na mmoja wao ni yule wa jana.
Ila hapa wala sijafurahia Simba kumchukua Shishimbi. Wanazidi kurundika viungo wakati tatizo la Simba kwa sasa ni washambuliaji na beki wa katiTaarifa zilizotangazwa leo na clouds TV kwenye kipindi chao cha 360 ni kwamba kapteni wetu Papy kashamalizana na mikia,na wameahidi kesho kwenye kipindi hicho hicho kuleta uthibitisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika usemalo.Hao ndio Wabongo Shadeeya. Roho wana ujuaji mwingi sana. Na wengine sio watu wa shukrani. Lolote utakalo wafanyia wanachukulia poa tu
Ni mwendo wa kukomoana tu. Hujaona Ajibu mlichomfanyia?Ila hapa wala sijafurahia Simba kumchukua Shishimbi. Wanazidi kurundika viungo wakati tatizo la Simba kwa sasa ni washambuliaji na beki wa kati
Ni mwendo uleule wa kuingiza uswahili na ushabiki kwenye vitu vya kiufundi. Hapa nia ni kutaka kuibimoa Yanga nje ya uwanja.
Hata kama wana matatizo yao tuwaache wamalize wenyewe na sio kuchangia kuidhoofisha. Kama kupambana tupambane dimbani na Yanga iliyokamilika
Huo ndio uswahili ninaosema. Kipaji cha Ajibu tunakifubaza. Hua najiuliza ilikuaje wakati ule akaachia offer ya TP Mazembe!? Watu wengine wanasema ni uvivu wake wa mazoeziNi mwendo wa kukomoana tu. Hujaona Ajibu mlichomfanyia?
Dr.Mshindo Msolwa na wenzako hapo Jangwani, mimi kama mwanachama kindakindaki wa yanga ntakuja hapo Ofisin na wanachama wenzangu wenye hoja kama zanguBARUA YA GSM KWENDA YANGA.
MWENYEKITI,
YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB,
P.O.BOX 15202,
DAR ES SALAAM.
Ndugu. YAH:MKATABA WA YOUNG AFRICANS SPORTA CLUB NA GSM TANZANIA LIMITED.
Husika na kichwa cha habari hapo juu. Kwa heshima na taadhima nachukua fursa hii kuushukuru uongozi mzima wa Klabu yetu ya YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB "YANGA" TIMU YA WANANCHI kwa ushirika wenu kwenye mambo kadha wa kadha kwenye kuirudishia heshima na kutatua changamoto nyingi zilizokua zinaikabili Klabu yetu.
Ikumbukwe kuwa changamoto nyingi ziliikumba na kuendelea kuikabili timu yetu na sisi tulijitahidi kuzitatua ingawa hazikua sehemu ya mkataba wetu.
NAZO NI
1.Kumrudisha LAMINE baada ya kutukatiza mkataba wake.
2.Kusajili wachezaji katika kuiongezea nguvu klabu yetu. I.Bernad Morisson. II.Ditram Nchimbi III.Haruna Niyonzima IV.Adeyum Saleh
3.Kuwaleta na kulipa gharama zote za KOCHA MKUU,KOCHA WA MAZOEZI NA VIUNGO (FITNESS COACH na PHYSIO)gharama hizo ni pamoja na mishahara, nusafiri wa ndani,nyumba na ticket za kwenda na kurudi makwao(BELGIUM & SOUTH AFRICA). 4.Kulipa Mishahara.
5.Kulipa Bonas za ushindi ktk mechi zote timu iliposhinda kuanzia Mwezi Desemba 2019.Pamoja na ahadi kubwa ya ushindi kwa mechi dhidi ya watani wa jadi na kuitekeleza
baada ya ushindi huo.
5.Kulipa gharama zote za CAMP/HOTEL kwa timu kuanzia mwezi Desemba 2019.
6.Tiketi za ndege kwa wachezaji na viongozi.
7.Kulipa na kugharamia uwanja wa mazoezi kwa ukamilifu wake.Hii ni pamoja na ukarabati wa uwanja na ununuzi wa vifaa vya mazoezi.
8.Kulipa baadhi ya madeni ya nyuma ya usajili wa wachezaji. Aidha,yote hayo yamekua yakifanyika kwa MAPENZI MEMA kwa klabu yetu bila kujali gharama nyingi na kubwa tunazolipa.
Pia,Katika kuelekea mabadiliko ya kiundeshaji wa Klabu,GSM ilitafuta wataalam( CONSALTANT)kuja kushauri na kusaidia mabadiliko ya kimfumo pamoja na kupata TIMU kubwa barani ULAYA itakayokuja kuwa ni TIMU RAFIKI katika kukuza maendeleo ya idara zote katika Klabu yetu CONSULTANT huyo yuko tayari na TIMU hiyo pia iko tayari kuja kuanza ushirikiano kwa Gharama za GSM.
Lakini,kumekua na malalamiko mengi sana kutoka kwa baadhi ya viongozi kuwa GSM imekua na ikiingilia majukumu yao na wao ndiyo wenye mamlaka hayo waliyokabidhiwa na WANACHAMA. Kwa masikitiko makubwa kauli hizi pia zimekua zikitekelezwa kwa vitendo
Usimamizi wetu umekua tu kwa yale tunayogharamia na kamwe hatukuwahi kutaka kujua mapato wala matumizi ya chanzo chochote cha Yanga.
Ikumbukwe pia,GSM imejitolea kwa hali na mali katika kuleta YANGA yenye maendeleo yake binafsi kupitia wanachama na KAMWE GSM haina nia ya KUPOKA MADARAKA WALA TIMU kutoka kwa mtu yeyote. YANGA NI WANANCHI NA ITABAKI KUWA YA WANANCHI
Kwa barua hi I,GSM itabaki kuwa mdhamini wa Yanga kimkataba na kutekeleza yale TU yaliyo Kwenye mkataba na kuachana na yote yaliyo nje ya mkataba.
Aidha,kwa niaba ya GSM tunaomba radhi kwa yoyote aliyekwazika na ushirika wetu katika kuijenga Klabu yetu na tuliyafanya hayo kwa mapenzi mema tu.
Tunawatakia kila la heri katika mapambano na tutaendelea kuwa sehemu ya mabingwa wa kihistoria.
DAIMA MBELE NYUMA MWIKO
FOR GSM GROUP OF COMPANIES
Viongozi walikuwa wanatia shaka za waziwazi. Yani watu wanafanya kazi hadi za kujitolea tena kwenye masuala ya pesa viongozi wanachukiaBARUA YA GSM KWENDA YANGA.