Inabidi watupe majibu ya kueleweka kwa kweli.Dr.Mshindo Msolwa na wenzako hapo Jangwani, mimi kama mwanachama kindakindaki wa yanga ntakuja hapo Ofisin na wanachama wenzangu wenye hoja kama zangu
Nataka mnijibu hoja yangu...
Kama mda wote GSM analipa mishahara, usafiri, viwanja, usajili na malazi ya timu...Je pesa za viingilio za wadhamini nk....zinaenda wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Atajiju sababu siku zote wanasema isiyemfaa akili yake utamdhuru ujinga wake.Huo ndio uswahili ninaosema. Kipaji cha Ajibu tunakifubaza. Hua najiuliza ilikuaje wakati ule akaachia offer ya TP Mazembe!? Watu wengine wanasema ni uvivu wake wa mazoezi
Hizo takataka sasa zilipe zenyewe. Hapo hadi Mwenyekiti nae ni mshenzi tu mana hayo yote yanapata Baraka zake[emoji116][emoji116][emoji116][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] KAZI IPO MWAKA HUU.
INASEMEKANA GSM ANAACHANA NA YANGA KWASABABU YA WAJUMBE HAWA.
Wajumbe watatu wa Kamati ya Utendaji
1. Rodgers Gumbo
2. Richard Shija
3. Salum Rupia
Walikuja na ajenda kwenye kikao cha Kamati ya utendaji kuwa Kampuni ya GSM inafanya usajiri bila kuitaarifu Kamati ya Utendaji. Wajumbe wengi ne walibisha sana juu ya jambo hili na kusema kuwa GSM kafanya hili kwa kuitetea Yanga je kosa lipo wapi. Kamapuni ya GSM iliandikiwa barua isijihusishe na usajiri.
GSM imeandika barua tarehe 24.03.2020 kwenda Yanga na haitajihusisha tena na Mambo ambayo ni nje ya mkataba wa Jezi. Imeachana na mshahara wa Kocha na benchi lote la ufundi.
Ndio ujue wanaojiingiza kwenye soka wengi wako kimaslahi. Na akili zao zote walijua GSM anapiga pesa.Viongozi walikuwa wanatia shaka za waziwazi. Yani watu wanafanya kazi hadi za kujitolea tena kwenye masuala ya pesa viongozi wanachukia
Yaani Msola ndio Kichefu chefuHizo takataka sasa zilipe zenyewe. Hapo hadi Mwenyekiti nae ni mshenzi tu mana hayo yote yanapata Baraka zake
Nawaza tu ubavu huo wanao kuwafukuza hao watu? 🤔🤔Mi naamini litakwisha tena soon ila lazima gharama kubwa iwepo hasa kwa kufukuzwa viongozi wote wenye mawazo mgando.
Na kwa hali hii hivi yale Mabadiliko yatakuwepo kweli? 🤔🤔Mi naamini litakwisha tena soon ila lazima gharama kubwa iwepo hasa kwa kufukuzwa viongozi wote wenye mawazo mgando.
Yatoke wapi? Labda mabadiliko ya kuzidi kurudi nyuma, tofauti kabisa na kaulimbiu yenuNa kwa hali hii yale Mabadiliko yatakuwepo kweli? 🤔🤔
Hizo takataka sasa zilipe zenyewe. Hapo hadi Mwenyekiti nae ni mshenzi tu mana hayo yote yanapata Baraka zake
Ha ha ha na kuna watu washasema sana kuwa msola anatuhujumu mana ni Mwana simba kiasilia ila nilikuwa siamini lakini kwa hili naanza kupata shaka ktk hayoYaani Msola ndio Kichefu chefu
Nakumbuka kauli ya yule jamaa wa Utopolo alishawahi kusema viongozi wajitathmini tukichoka kuongea kwa mdomo ipo siku tutaongea kwa ngummi. [emoji41][emoji41] Na huko ndio tunaelekea.
Hapo ni wanachama wakiamua hata Leo panachimbikaNawaza tu ubavu huo wanao kuwafukuza hao watu? [emoji848][emoji848]
Siyo rahisi mana purukushani za ujenzi Wa uwanja walikuwa ni GSM na walikuwa ni sehemu pia kuelekea mabadilikoNa kwa hali hii hivi yale Mabadiliko yatakuwepo kweli? [emoji848][emoji848]
InawezekanaHv kwann tusianzishe movement Ya Msola out hatumtak kwan tunashndw nn
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ni wanachama wakiamua hata Leo panachimbika
ss tunasubr nn au mpk tupigwe kumi na mikia..Inawezekana
Anadai amepewa mkataba na Yanga na Simba ila yote hajaisaini japo Wa yanga hajasaini kwa sababu kuna vitu vingi hajavipenda ndani ya huo mkataba. So obviously anakwenda simbass tunasubr nn au mpk tupigwe kumi na mikia..
Na tetes zilizopo Papy anasain simba
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungejua tulivyo na hasira hata usingeongea haya. 😔Yatoke wapi? Labda mabadiliko ya kuzidi kurudi nyuma, tofauti kabisa na kaulimbiu yenu
Daaah!! Ila tusubiri tuone aisee.Siyo rahisi mana purukushani za ujenzi Wa uwanja walikuwa ni GSM na walikuwa ni sehemu pia kuelekea mabadiliko