Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Ungejua tulivyo na hasira hata usingeongea haya. πŸ˜”
Mmewalea sana viongozi wenu. Mliposikia Profesa mkadhani atakua ni muarubaini wa kuwavusha kuelekea kwenye neema! Ingekua ni Yanga ya zamani ile ya wenye klabu yao hasaa, Wallah bakora zishatembea saa hizi
 
Daaah!! Ila tusubiri tuone aisee.
Sio kusubiri tu Shadeeya, pazeni sauti, walazimisheni viongozi wenu wajishushe na wasijione wababe.

Japo mikutano hairuhusiwi kipindi hiki uzuri siku hizi kuna radio na mitandao ya kijamii, itumieni kueleza hisia zenu. Sisi tunataka Yanga ije kwa Mkapa ikiwa haina malalamiko wala njaa tuweze kulipa kisasi cha halali kabisa
 
Sidhani kama tunashindwa japo ujue [emoji848] sisi wenyewe ndio tulimuweka pale baada ya kutupa ahadi nyingi zilizokuwa hewa.
Ha ha ha ha swahiba Tajiri anuniwi, Nyie mtu anatoa hela mnaanza kusema kwamba anawainglia maswala ya Uongozi kwel jamani...

Mnashindwa kula na vipofu na sjajua ile mikataba ya GSM kwa wale wachezaji mishahara nan anailipa Morison, Lamine, Nchimbi Niyonzima maana walisajiliwa na Bwana Mkubwa Engineer.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha na kuna watu washasema sana kuwa msola anatuhujumu mana ni Mwana simba kiasilia ila nilikuwa siamini lakini kwa hili naanza kupata shaka ktk hayo
Mikia yule. Yupo kwa ajili ya ulaji.
 
CHA AJABU MPAKA SASA UONGOZI UPO KIMYA TU HAUTOI HATA NENO KWA YALIYOTOKEA. πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Swahiba ndio ujue Soka letu halitakuja liendelee daima kwa hizi mambo.

Na ndio ameshawaachia walipe wao hiyo mishahara na nina hakika muda si mrefu watagoma kwa akutokulipwa mshahara. πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”
 
Aaah. Yaani leo patachimbika pale Jangwani unadhani watu watawavumilia ni lazima sauti zikapazwe pale.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hawaezi tupiga kumi hao.

Huyo Tshishimbi aende tu bana watakuja wengine kama alivyokuja yeye..
Huyu Tshishimbi ashukuru kucheza timu moja na Balama Mapinduzi la sivyo angekuwa ni opponent wake halafu siku wakutane,tungeona mengi. Naombea itokee aende mkiani halafu nije nijionee kwa macho yangu hizo pilika na kadi hapo kati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…