Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Mmewalea sana viongozi wenu. Mliposikia Profesa mkadhani atakua ni muarubaini wa kuwavusha kuelekea kwenye neema! Ingekua ni Yanga ya zamani ile ya wenye klabu yao hasaa, Wallah bakora zishatembea saa hiziUngejua tulivyo na hasira hata usingeongea haya. 😔