Kuna siku nilikuwa natembelea Youtube nikagongana na ile video aliyokuwa anaomba kura kama sikosei aliahidi kutoa bilioni 2 kama sikosei halafu watu wanamshangilia basi nikajikuta nina hasira tu.Mmewalea sana viongozi wenu. Mliposikia Profesa mkadhani atakua ni muarubaini wa kuwavusha kuelekea kwenye neema! Ingikua ni Yanga ya zamani ile ya wenye klabu yao hasaa, Wallah bakora zishatembea saa hizi
Umefanya nimecheka wakati nina hasira hapa.Labda halijaiva😂😂😂
Mchekeeni hadi mkimbiwe na wachezaji wote
Subra ya nini wakati tangia majuzi mtu akileta fununu wako fasta kutoa barua za kukanusha.Subra mamii, subraaaa😂😂
Hakika usemalo. Muache aende akasugue benchi kama kina Gadiel na Ajibu.Huyu Tshishimbi ashukuru kucheza timu moja na Balama Mapinduzi la sivyo angekuwa ni opponent wake halafu siku wakutane,tungeona mengi. Naombea itokee aende mkiani halafu nije nijionee kwa macho yangu hizo pilika na kadi hapo kati
Mimi tangia mwanzo wakati wa kampeni nilikua najua anawadanganya tu. Sijui kwanini hamkushtukaKuna siku nilikuwa natembelea Youtube nikagongana na ile video aliyokuwa anaomba kura kama sikosei aliahidi kutoa bilioni 2 kama sikosei halafu watu wanamshangilia basi nikajikuta nina hasira tu.
Hata msemaji wenu, sijui muhamasishaji yule naye namuona ropropo tu. Hivi wabongo wamepata wapi tabia ya kupenda kukanusha mambo ya kweli?Subra ya nini wakati tangia majuzi mtu akileta fununu wako fasta kutoa barua za kukanusha.
Na leo waongee sasa.
Ikiwa mtu mpaka katoa barua na imeshasambaa kiasi hiki sidhani kama ana nia yakupozwa na wanasemaga sikuzote kitu chochote kikishakuwa hadharani jua tu humo ndani walishashindwana hao.Watakuwa wanasubiri wapoze huko ndani ndipo waje wakanushe. Ila hata wakikanusha bado kuna jambo lipo pale ndani!
Ha ha ha mliongea sana ile siku mkasahau mnayopitia nyie... Tena bora sie tunajua hela yetu ipo mahala...YAANI LEO TUMEKUWA KAMA MIKIA ILE SIKU MO KAJIUZULU KULE TWITTER. [emoji1787]
Swahiba uzeni team yenu hyo haya maswala ya mfadhili mwisho wake huwa ni Mbaya, sie sa hv structure ipo hata akitaka kuondoka its process na sio kuamka tu na kusema sitakiSwahiba ndio ujue Soka letu halitakuja liendelee daima kwa hizi mambo.
Na ndio ameshawaachia walipe wao hiyo mishahara na nina hakika muda si mrefu watagoma kwa akutokulipwa mshahara. [emoji17][emoji17][emoji17]
Mi mwenyewe huwa nashangaa na ukanushwaji wao huwa ni ule wa poa poa. Yaani huwaoni kama wanamaanisha.Na
Hata msemaji wenu, sijui muhamasishaji yule naye namuona ropropo tu. Hivi wabongo wamepata wapi tabia ya kupenda kukanusha mambo ya kweli?
Hahahaaa. Sitaki kukumbuka aiseee Swahiba.Ha ha ha mliongea sana ile siku mkasahau mnayopitia nyie... Tena bora sie tunajua hela yetu ipo mahala...
Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi aisee mana hii ya Yanga sasa ni kudhalilika.Swahiba uzeni team yenu hyo haya maswala ya mfadhili mwisho wake huwa ni Mbaya, sie sa hv structure ipo hata akitaka kuondoka its process na sio kuamka tu na kusema sitaki
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii haitasaidia kukuza mpira wetu kama nchi Na wao kama timu,mana timu inaposajili kwa kutaka kukomoa inakuwa haijazingatia matakwa madhubuti ya idara ktk kikosi. N way hili la Tshishimbi lisituchoshe,tunapaswa kuwachoka kina msola na genge lakeHakika usemalo. Muache aende akasugue benchi kama kina Gadiel na Ajibu.
Ila hii ya watu kuvurugiana inaeza kuja kuisha kweli? [emoji848][emoji848] Sababu nionavyo wanachokifanya mikia ni kutubomoa tu huku wakiwa hata hawana faida hao wachezaji wanaowachukua.
Hakika usemalo huyo Tshishimbi asituchoshe sababu hatakuwa wa kwanza kuondoka Yanga.Hii haitasaidia kukuza mpira wetu kama nchi Na wao kama timu,mana timu inaposajili kwa kutaka kukomoa inakuwa haijazingatia matakwa madhubuti ya idara ktk kikosi. N way hili la Tshishimbi lisituchoshe,tunapaswa kuwachoka kina msola na genge lake
Mara hii ishakua hadithi ya sizitaki mbichi hizi tena!Hakika usemalo huyo Tshishimbi asituchoshe sababu hatakuwa wa kwanza kuondoka Yanga.
Aaah. Kama anaenda aendage bana.Mara hii ishakua hadithi ya sizitaki mbichi hizi tena!
😂😂😂
Na yeye ndio atakua silaha ya kuwamaliza. Si kashajua siri ya kambi🤪Aaah. Kama anaenda aendage bana.
Hamna kitu kama hicho.Na yeye ndio atakua silaha ya kuwamaliza. Si kashajua siri ya kambi🤪