Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mmewalea sana viongozi wenu. Mliposikia Profesa mkadhani atakua ni muarubaini wa kuwavusha kuelekea kwenye neema! Ingikua ni Yanga ya zamani ile ya wenye klabu yao hasaa, Wallah bakora zishatembea saa hizi
Kuna siku nilikuwa natembelea Youtube nikagongana na ile video aliyokuwa anaomba kura kama sikosei aliahidi kutoa bilioni 2 kama sikosei halafu watu wanamshangilia basi nikajikuta nina hasira tu.
 
Huyu Tshishimbi ashukuru kucheza timu moja na Balama Mapinduzi la sivyo angekuwa ni opponent wake halafu siku wakutane,tungeona mengi. Naombea itokee aende mkiani halafu nije nijionee kwa macho yangu hizo pilika na kadi hapo kati
Hakika usemalo. Muache aende akasugue benchi kama kina Gadiel na Ajibu.

Ila hii ya watu kuvurugiana inaeza kuja kuisha kweli? 🤔🤔 Sababu nionavyo wanachokifanya mikia ni kutubomoa tu huku wakiwa hata hawana faida hao wachezaji wanaowachukua.
 
Kuna siku nilikuwa natembelea Youtube nikagongana na ile video aliyokuwa anaomba kura kama sikosei aliahidi kutoa bilioni 2 kama sikosei halafu watu wanamshangilia basi nikajikuta nina hasira tu.
Mimi tangia mwanzo wakati wa kampeni nilikua najua anawadanganya tu. Sijui kwanini hamkushtuka
 
Na
Subra ya nini wakati tangia majuzi mtu akileta fununu wako fasta kutoa barua za kukanusha.

Na leo waongee sasa.
Hata msemaji wenu, sijui muhamasishaji yule naye namuona ropropo tu. Hivi wabongo wamepata wapi tabia ya kupenda kukanusha mambo ya kweli?
 
Watakuwa wanasubiri wapoze huko ndani ndipo waje wakanushe. Ila hata wakikanusha bado kuna jambo lipo pale ndani!
Ikiwa mtu mpaka katoa barua na imeshasambaa kiasi hiki sidhani kama ana nia yakupozwa na wanasemaga sikuzote kitu chochote kikishakuwa hadharani jua tu humo ndani walishashindwana hao.

Lakini huenda akarudi nyuma. Tusuburi tuone.
 
Swahiba ndio ujue Soka letu halitakuja liendelee daima kwa hizi mambo.

Na ndio ameshawaachia walipe wao hiyo mishahara na nina hakika muda si mrefu watagoma kwa akutokulipwa mshahara. [emoji17][emoji17][emoji17]
Swahiba uzeni team yenu hyo haya maswala ya mfadhili mwisho wake huwa ni Mbaya, sie sa hv structure ipo hata akitaka kuondoka its process na sio kuamka tu na kusema sitaki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na
Hata msemaji wenu, sijui muhamasishaji yule naye namuona ropropo tu. Hivi wabongo wamepata wapi tabia ya kupenda kukanusha mambo ya kweli?
Mi mwenyewe huwa nashangaa na ukanushwaji wao huwa ni ule wa poa poa. Yaani huwaoni kama wanamaanisha.
 
Hakika usemalo. Muache aende akasugue benchi kama kina Gadiel na Ajibu.

Ila hii ya watu kuvurugiana inaeza kuja kuisha kweli? [emoji848][emoji848] Sababu nionavyo wanachokifanya mikia ni kutubomoa tu huku wakiwa hata hawana faida hao wachezaji wanaowachukua.
Hii haitasaidia kukuza mpira wetu kama nchi Na wao kama timu,mana timu inaposajili kwa kutaka kukomoa inakuwa haijazingatia matakwa madhubuti ya idara ktk kikosi. N way hili la Tshishimbi lisituchoshe,tunapaswa kuwachoka kina msola na genge lake
 
Hakika usemalo huyo Tshishimbi asituchoshe sababu hatakuwa wa kwanza kuondoka Yanga.
 
Back
Top Bottom